Hongera sana mkuu,umenitia moyo sana kwa ushuhuda wako nimejikuta nafurahi sana kama vile mm ndo ninepata hiyo kazi,na nimepata matumaini mapya kwamba mwaka huu nami ntatoboa, nina received moja lakini pia ntatolea macho kila advert ili received ziongezeke.
Mwaka 2022. nilikua na application 4,Tatu zimefanyiwa usaili zote nilikuwa shortlisted,katika hizo 3 nilibahatika kuhudhuria moja kwa kuwa siku naenda kufanya hiyo moja nyingije pia nilipangwa siku na muda mmoja katika ukumbi mmoja pale CIVE,nikashindwa kupiga pepa mbiki kwa mpigo zile dk 40 zao[emoji23]
Ya tatu sikubahatika kuhudhuria nilitingwa,nimebakiwa na received moja kati ya 4 za mwaka 2022.
Wakuu tupambane mpaka kieleweke mpaka wote umu ndani tuunganishwe katika mrija wa asali wa grid ya Taifa
Huu uzi ni msaada mkubwa sana,unahamasisha,elimisha na kutia moyo sana,elimu tunayoipata umu ni tiba tosha ya kulwmba asali
Once again hongera sana mwifwa,you deserve it,na wadau wote muliobahatika kuunganishwa kwenye mrija wa asali hongereni sana sana sana,hakika mumefanya na sisi tujiamini kwamba inawezekana kutoboa