mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 992
- 2,266
Mimi nipo Rombo sio karibu na Dodoma kama unavyofikiria
Rombo- Dodoma nauli kiasi gani?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nipo Rombo sio karibu na Dodoma kama unavyofikiria
Mtu aliyeko Same au Rombo unasema yuko karibu na Dodoma huyo?Kanda ya kaskazini ni karibu mno na Dom.
Sio chini ya 30kRombo- Dodoma nauli kiasi gani?.
Hapo ni karibu ila gharama zake sio poaHivi umbali kati ya Dar na Zanzibar upo sawa na umbali wa Rombo to Dom?
Simu imeitaFuraha ya Leo ni Zaid ya siku nimeona placement guess what hahahahaha tukutane mwisho wa mwezi Benki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliona sahili hizo zilikuwa zinahusisha mamlaka zinazoendesha sahili zao kwa usimamizi wa PSRS kama NCAA, AICC na wasahiliwa wote walienda huko hata kama unatokea Mtwara, Katavi, Njombe na N.k.Saili zilikuwa zinafanyika Chuo cha Uhasibu Arusha, so kituo kilikuwepo.
Hongera sana mkuu, umekuwa mvumilivu sana.Furaha ya Leo ni Zaid ya siku nimeona placement guess what hahahahaha tukutane mwisho wa mwezi Benki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ARUSHA ITAKUA POA SANA KASKAZINI NI KUBWA
Hongera sana mkuu, umekuwa mvumilivu sana.
Imagine umepokea barua hata mimi bado sujafanya sahili yangu na sasa imebaki nikabebe barua.
Hongera tena, Utumishi mwema ndio kauli mbiu yetu, usisahau hilo
Email ✉️📨Simu imeita
Asante sana mkuuHongera sana mkuu, umekuwa mvumilivu sana.
Imagine umepokea barua hata mimi bado sujafanya sahili yangu na sasa imebaki nikabebe barua.
Hongera tena, Utumishi mwema ndio kauli mbiu yetu, usisahau hilo
Hngera mkuu...em nipe kwanza maswli ya oral ya TUTOR ICT mana kuna 1 ile nitegea ya veta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Asante sana
Hongera sana mtaalamuFuraha ya Leo ni Zaid ya siku nimeona placement guess what hahahahaha tukutane mwisho wa mwezi Benki 🤣🤣🤣🤣
Sawa nikikaa sawa nitakupa mrejeshoH
Hngera mkuu...em nipe kwanza maswli ya oral ya TUTOR ICT mana kuna 1 ile nitegea ya veta 🤣🤣
Asante sana mkuuHongera sana mtaalamu
Poa poaSawa nikikaa sawa nitakupa mrejesho
Hapo wamekutumia Barua ya Kazi?Email [emoji3576][emoji396]