Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Saili zilikuwa zinafanyika Chuo cha Uhasibu Arusha, so kituo kilikuwepo.
Niliona sahili hizo zilikuwa zinahusisha mamlaka zinazoendesha sahili zao kwa usimamizi wa PSRS kama NCAA, AICC na wasahiliwa wote walienda huko hata kama unatokea Mtwara, Katavi, Njombe na N.k.

Hiyo hatuwezi kusema ilikuwa kanda maana ilijumuisha watu kutoka sehemu zote.

Hapa kikanda tunazungumzia wasahiliwa watoke Manyara, Arusha, Kilimanjaro
 
Furaha ya Leo ni Zaid ya siku nimeona placement guess what hahahahaha tukutane mwisho wa mwezi Benki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera sana mkuu, umekuwa mvumilivu sana.

Imagine umepokea barua hata mimi bado sujafanya sahili yangu na sasa imebaki nikabebe barua.

Hongera tena, Utumishi mwema ndio kauli mbiu yetu, usisahau hilo
 
Hongera sana mkuu, umekuwa mvumilivu sana.

Imagine umepokea barua hata mimi bado sujafanya sahili yangu na sasa imebaki nikabebe barua.

Hongera tena, Utumishi mwema ndio kauli mbiu yetu, usisahau hilo

Ilibaki kidogo uchukue barua yako na kuitwa kazini meck pro akiwa bado na barua yake anasubiri kupigiwa simu😄😄😄

Hongera sana kaka meck pro kwa kuitwa kazini, mshahara wa mwezi huu unakuhusu + maposho memgine ya mfanyakazi mpya.
 
Back
Top Bottom