[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha! Mkuu kuwa na amani sana.
Kuna watu humu watafuta ajira wanashinda kwenye website kama tu wafanyakazi wa psrs, wanaingia asubuhi na kutoka jioni. Na mara nyingine wanabaki kazini mpaka saa tano au sita za usiku (over time).
Kwa hiyo kuwa na amani, kikitokea chochote ni lazima kitaletwa humu haraka.
Wewe fikiria kuna mtu anaweza kukupa na takwimu kabisa kwamba siku ya Ijumaa tarehe fulani website ilikuwa nzito kuanzia muda fulani mpaka muda fulani.
hahahahahahaha hahahaha hahahaha 😂😂😂😂😂😂Hahahahaha! Mkuu kuwa na amani sana.
Kuna watu humu watafuta ajira wanashinda kwenye website kama tu wafanyakazi wa psrs, wanaingia asubuhi na kutoka jioni. Na mara nyingine wanabaki kazini mpaka saa tano au sita za usiku (over time).
Kwa hiyo kuwa na amani, kikitokea chochote ni lazima kitaletwa humu haraka.
Wewe fikiria kuna mtu anaweza kukupa na takwimu kabisa kwamba siku ya Ijumaa tarehe fulani website ilikuwa nzito kuanzia muda fulani mpaka muda fulani.
Hamna placement huko Leo??
Shetan ana majarbu yan naanza kuumwa halaf nna pepa jpili🥲. Ee Mungu naomba unisimamie,maombi yenyu wadau.
Hahahhaa tuombeane tu,Kuna ndugu yangu ananiuliza kila saa ndio maana.Wewe mzee inabidi tu upate hiyo placement sio kwa fujo hizi(jokes).
Hongera sana MwifwaFinally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Hongera sana Hard truthAsante Mungu, nimetoboa.
Mungu mkubwa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Mungu mkubwa.
Inawezekana ni rahisi kufikika Dom au bado wapo kwenye plan ya kuanzisha hiyo kandaHivi kwanini kwenye saili za kuandika hivi karibuni jobless wa Kanda ya Kaskazini hawafanyi saili Kaskazini wamafanya Dodoma?
Tatizo liko wapi?
Saili zilikuwa zinafanyika Chuo cha Uhasibu Arusha, so kituo kilikuwepo.Inawezekana ni rahisi kufikika Dom au bado wapo kwenye plan ya kuanzisha hiyo kanda
Hivi kwanini kwenye saili za kuandika hivi karibuni jobless wa Kanda ya Kaskazini hawafanyi saili Kaskazini wamafanya Dodoma?
Tatizo liko wapi?
Mimi nipo Rombo sio karibu na Dodoma kama unavyofikiria1. Uchache wa mikoa ktk kanda hyo ukilinganisha na kanda nyingine.
2. Ukaribu na na Dodoma ambayo ndio makao makuu ya kanda ya kati.
Kanda ya kaskazini ni karibu mno na Dom.Hivi kwanini kwenye saili za kuandika hivi karibuni jobless wa Kanda ya Kaskazini hawafanyi saili Kaskazini wamafanya Dodoma?
Tatizo liko wapi?
Sio kama tunavyofikiria, dom na kanda ya kaskazini ni karibu na Dom, sio kama unavyofikiria wewe.Mimi nipo Rombo sio karibu na Dodoma kama unavyofikiria
Hivi umbali kati ya Dar na Zanzibar upo sawa na umbali wa Rombo to Dom?Sio kama tunavyofikiria, dom na kanda ya kaskazini ni karibu na Dom, sio kama unavyofikiria wewe.
Uelewe, Znz ni kituo kinachojumuisha Pemba na Unguja, kwa maana ya kisiwani tu.Hivi umbali kati ya Dar na Zanzibar upo sawa na umbali wa Rombo to Dom?
NI KWELI Kabisa ukiangalia umbali kutoka rombo hadi dodoma sio wa kitoto walau watuwekee hapo arusha sisi wahuku kaskazini asee sio poa , mimi Niko moshi kuja tu dom inanigharimu sio chini ya laki pamoja na kurudi. KWELI UTUMISHI WATUANGALIEMimi nipo Rombo sio karibu na Dodoma kama unavyofikiria
ARUSHA ITAKUA POA SANA KASKAZINI NI KUBWANI KWELI Kabisa ukiangalia umbali kutoka rombo hadi dodoma sio wa kitoto walau watuwekee hapo arusha sisi wahuku kaskazini asee sio poa , mimi Niko moshi kuja tu dom inanigharimu sio chini ya laki pamoja na kurudi. KWELI UTUMISHI WATUANGALIE