Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ni kweli mnyampaa, ajira yangu ni ya term ya kwanza ya JK
 
Naona watu wenye Gentleman GPA mnajifarijj.

Inakuaje lecturer na wewe una GPA 2.0.

Maana yake wewe hukua serious na masomo Chuo ulikuwa unaleta michezo.

Maana yake upeo wako wa kuelewa ni mdogo ndio maana ukaambulia makarai ya kutosha[emoji1].

Sasa huwezi kuelezea kwa maandishi(mitihani) utaweza vipi andika Tafiti na tasnifu za masomo yako ya juu ya uhadhiri.

So GPA kwanza ni kigezo namba Moja 3.8 and above upper second class.

Then wakishapstikana hao wanapimwa kwa uwezo wao wa presentation na Q and A.

Maana wengine Wana GPA kubwa za mchongo tu.
 
Wewe ni kama Mimi tu

Mi Niko kazini miaka 9 Sasa sijawahi pata tatizo.

Na mkataba wa ajira Yako matatu

Cheki namba yako matatu

Ila vyeti Yako mawili kuanzia O level hadi chuo. Ni mawili tu.
 
Hio uredi italeta shida.

Kimbia Rita wakarekebishe
 

Asante sana mtaalamu, umelitengeneza vizuri wazo letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…