Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ahsante sana mkuu. Muda ndio huwa unadetermine mambo, kwa sasa hilo haliwezekani ukizingatia mfumo wa ajira tuliorisishwa na Mzee wa Chattle pia unapigilia msumari.

Binafsi nipo kwenye early 30, mfumo usingetikiswa ningeingia kwenye mrija nikiwa kwenye late 20.

This is all about God's plan, tunapaswa kushukuru pia
Ni kweli mnyampaa, ajira yangu ni ya term ya kwanza ya JK
 
Naona watu wenye Gentleman GPA mnajifarijj.

Inakuaje lecturer na wewe una GPA 2.0.

Maana yake wewe hukua serious na masomo Chuo ulikuwa unaleta michezo.

Maana yake upeo wako wa kuelewa ni mdogo ndio maana ukaambulia makarai ya kutosha[emoji1].

Sasa huwezi kuelezea kwa maandishi(mitihani) utaweza vipi andika Tafiti na tasnifu za masomo yako ya juu ya uhadhiri.

So GPA kwanza ni kigezo namba Moja 3.8 and above upper second class.

Then wakishapstikana hao wanapimwa kwa uwezo wao wa presentation na Q and A.

Maana wengine Wana GPA kubwa za mchongo tu.
 
Sijakuelewa hapa kaka. Mie cheti cha form 4, form 6 na chuo vyote ni majina mawili tu hakuna initial wala nini katikati yaani linasomeka JANUARY YUSUPH. Ila Nida na cheti cha kuzaliwa majina matatu yaani JANUARY YUSUPH MAKAMBA. lakini sijawai zuiwa hata mara moja iwe oral au written
Wewe ni kama Mimi tu

Mi Niko kazini miaka 9 Sasa sijawahi pata tatizo.

Na mkataba wa ajira Yako matatu

Cheki namba yako matatu

Ila vyeti Yako mawili kuanzia O level hadi chuo. Ni mawili tu.
 
Niliwahi ona case humu nahofia tarehe 17 wakanizingua na mimi

Jina cheti 4 na 6 liwe labda Punje Haradari

Jina la kitambulisho cha mpiga kura na kwenye address zote za utumishi liwe Punje Haradari Mkandwaji

Kwenye cheti cha kuzaliwa Punje Haradari

Na kwenye majina ya mzazi kwenye cheti cha kuzaliwa ni Haradari Uredi ( Mkandwaji halipo)
Hio uredi italeta shida.

Kimbia Rita wakarekebishe
 
Utasikia "Ukiwa na shida za kujua ABC za NAOT, wewe niPM tu" (jokes)

Privacy tuipe kipaumbele, hili halishindikani na wazo hili linaweza kutekelezeka vizuri tu.

Nafahamiana na watu humu nje ya JF na sijawahi kupata negative impact ya kufahamiana nao, na baadhi yao wamekuwa msaada kwangu

Asante sana mtaalamu, umelitengeneza vizuri wazo letu.
 
Back
Top Bottom