Yellescabar
Senior Member
- Mar 19, 2017
- 115
- 253
Vyeti ivo mbwembwe tuu muhimu ni ajira tuuNna Degree ya ECONOMICS, CPA (T) na Msc in finance
Itategemea umeajiriwa wapiVyeti ivo mbwembwe tuu muhimu ni ajira tuu
Ila kazi ngumu kupata ajiraHongera, sio kazi rahisi kuwa engineer
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ooh pole lovNa mimi naumwa
naunga mkono hojaTutoeni mawazo, ni ajabu sana kama tutaishia kujua kwamba pale Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima nina jamaa yangu wa Jf anaitwa Ahmet na bado sina namna ya kufaidika naye.
Au NAOT yuko ndugu yetu Mwifwa na kuna mtu anatamani kujua maisha ya pale ofisini yakoje lakini hana namna ya kumfikia tufauti na ID faki.
Au ukute una ndugu yako anataka kwenda kupigwa mionzi pale Ocean road na unajua kabisa kuna wizy lakini huna namna ya kumtumia kubadilishana mawazo.
Japo usiri uliowekwa Jf ni wa muhimu lakini kama wasomi ni vizuri tukawaza namna ya kufaidika na wataalamu wa humu.
Ila soon utavuta mrijaIla kazi ngumu kupata ajira
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Furaha ya Leo ni Zaid ya siku nimeona placement guess what hahahahaha tukutane mwisho wa mwezi Benki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko sahihi mkuuTutoeni mawazo, ni ajabu sana kama tutaishia kujua kwamba pale Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima nina jamaa yangu wa Jf anaitwa Ahmet na bado sina namna ya kufaidika naye.
Au NAOT yuko ndugu yetu Mwifwa na kuna mtu anatamani kujua maisha ya pale ofisini yakoje lakini hana namna ya kumfikia tufauti na ID faki.
Au ukute una ndugu yako anataka kwenda kupigwa mionzi pale Ocean road na unajua kabisa kuna wizy lakini huna namna ya kumtumia kubadilishana mawazo.
Japo usiri uliowekwa Jf ni wa muhimu lakini kama wasomi ni vizuri tukawaza namna ya kufaidika na wataalamu wa humu.
kuna watu wanadharau zakingese hapa mfyuuDuh kaka mbona unamdharau mwenzako hivyo[emoji26]
Mkuu unapatikana wapi nikupe lunch leoSasa kasomee certificate ya manners ndo umeikosa hapo.
Hapa watu wanaangalia upenyo tuu tz hii hakuna mda wa kuchagua taasisi..na ivo vyeti si mpaka uajiriwe sasa..usimdharau mtu kwakua una mavyeti mengi wako watu wenye vyeti zaid yako lakin wamepoa tuu kjanaItategemea umeajiriwa wapi
Thanks sanaAsome materials yote ya bee keeping, asome na kuelewa.
Amen mkuuIla soon utavuta mrija
Yaan huyu na mimi ilibidi apate pepsi ya baridi na jua hili, jibu zuri sana[emoji3]Mkuu unapatikana wapi nikupe lunch leo
Mlikuwa na bahati sana kwenye utawala wa JK. Hata kipindi hicho hakukuwa na shamrashamra sana mtu ukipata kazi ukilinganisha na sasa.Ni kweli mnyampaa, ajira yangu ni ya term ya kwanza ya JK
Acha tu mkuu kipind ch jk watu hawakua na tension kubwa kiasi hiki kz imekua kama jiwe la dhahabu ukilipata meno yote nje furaha isiyo na kifani....kwa kwel zama zinabadilikaMlikuwa na bahati sana kwenye utawala wa JK. Hata kipindi hicho hakukuwa na shamrashamra sana mtu ukipata kazi ukilinganisha na sasa.
Ona sasa tunavyofurahi kupitiliza pindi mtu akipata kazi. Kila wakati na majambo yake
Kikubwa cheque namba kwanza ili tupoze hili joto la mtaani.Omba Mungu upangiwe makao makuu hapo, utakula per diem za kutosha.
Kipindi Cha JK ndio vilaza i.e Incompetent, wengi sana waliingia kwenye Utumishi wa ummaAcha tu mkuu kipind ch jk watu hawakua na tension kubwa kiasi hiki kz imekua kama jiwe la dhahabu ukilipata meno yote nje furaha isiyo na kifani....kwa kwel zama zinabadilika
Hahahahaha.Hongera mwamba!
Sema mwanao Wizy kasepa ndio ilikua sasa hivi mnaelekea Yard kuulizia magari
Wasomi wa Cuba tushapigia mstari jibu[emoji3][emoji3][emoji3]Hapana [emoji23][emoji23]