Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tutoeni mawazo, ni ajabu sana kama tutaishia kujua kwamba pale Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima nina jamaa yangu wa Jf anaitwa Ahmet na bado sina namna ya kufaidika naye.

Au NAOT yuko ndugu yetu Mwifwa na kuna mtu anatamani kujua maisha ya pale ofisini yakoje lakini hana namna ya kumfikia tufauti na ID faki.

Au ukute una ndugu yako anataka kwenda kupigwa mionzi pale Ocean road na unajua kabisa kuna wizy lakini huna namna ya kumtumia kubadilishana mawazo.

Japo usiri uliowekwa Jf ni wa muhimu lakini kama wasomi ni vizuri tukawaza namna ya kufaidika na wataalamu wa humu.
naunga mkono hoja
 
Uko sahihi mkuu
 
Ni kweli mnyampaa, ajira yangu ni ya term ya kwanza ya JK
Mlikuwa na bahati sana kwenye utawala wa JK. Hata kipindi hicho hakukuwa na shamrashamra sana mtu ukipata kazi ukilinganisha na sasa.

Ona sasa tunavyofurahi kupitiliza pindi mtu akipata kazi. Kila wakati na majambo yake
 
Acha tu mkuu kipind ch jk watu hawakua na tension kubwa kiasi hiki kz imekua kama jiwe la dhahabu ukilipata meno yote nje furaha isiyo na kifani....kwa kwel zama zinabadilika
 
Back
Top Bottom