Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pongezi kwako Mwifwa ,,aisee sijajuta kukutana na ww humu JF
We ni mtu kazi ,wakt umekandwa ulikuwa unawatia moyo pia waliokandwa ,,hata umefanikiwa kuwakanda ,utaendelea kuwatia moyo Majobless

Siri ni kutokukata Tamaa nikuinuka ukianguka ,,kwenda hizi interview zinatupa experience kubwa sana ,Leo unaweza usitoboe ,lkn kwa sababu imekujenga kesho UTATOBOA Maana unajua wap pa kupita kuufikia mrija wa Asali ...pongezi kwako bro ...
Ukawe mtumishi mzuri kwa wananchi [emoji122][emoji122]
 
Ahsante sana mkuu, ni kweli ukikandwa mara kadhaa unapata uzoefu, siku ukiwabahatisha unawalaza na viatu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ahsante sana mkuu, ni kweli ukikandwa mara kadhaa unapata uzoefu, siku ukiwabahatisha unawalaza na viatu[emoji3][emoji3][emoji3]
Maana watakuwa wameingia kweny anga zako ,unajua watakuja hv ,nitawashikia hapa baada ya uzoefu wa NYUMA kukupiga...[emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…