Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Screenshot_20230112-160828_Gallery.jpg

Pitia VII Kinahusu Passport size.
Je Ni Kigezo Cha Kufanya Usiwe Shortlisted kwny interview kama picha yako inamuda mrefu Kwa Portal
 
Nimeenda ofisini kwao siku ya kwanza niliambiwa niwaambie emails yangu nikafanya ivyo nikaambiwa nitajibiwa kwa Email lakini ikawa kimya, baada ya siku kadhaa nikaenda nikamkuta mwingine nilichokutana nacho ni dharau na majibu ya kebehi leo wametoa majina ya nyongeza lakini jina langu halipo. Nimateso sana afu ni sehem niliyotegemea sana
Duh pole sana I feel you, usikate tamaa
 
Mi naugulia tu maumivu huku, LGA's and MDA's wamegoma kuniita interview kigezo eti sijaweka picha wakati interview zaidi ya 10 nimeitwa interview na sijawahi badili picha hata siku moja. Nimekosa kazi ya security officer II utadhani ndio imenipa mikosi😭😭😭
Nimekaa kumbe nina interview LGA's na MDA mpaka wadau wakanisanua.
 
Form IV leaver aijue wapi Bills of Quantitaties, wenye degree tu wengi wao hawaijui....jamaa itakua ndo profession yake kama si engineer.
Hongera Kwa jibu zuri.Mie ni CPA(T) mwenye uzoefu wa kazi za auditing mbalimbali .Hata nyie wakati wenu ukifika inabidi ujiongeze kujua mambo mengi kadri itakavyowezekana kutegemea na industry utakapokuwa placed Wengine,tupo hapa JF kujaribu ku-moderate discussion na kuwa-inspire vijana kupambana
 
Mkuu, mimi pia niko kwenye system teyari.
 
Mkuu, mimi pia niko kwenye system teyari.
Ok Vizuri,ndo maana hata Advocates aliyesomea Laws inabidi kufanya research kabla ya kum-cross examine shahidi ambaye ana taaluma ambayo Advocates hakuisomea such as Engineering,Accounting etc.My point ,Mungu ni Mwema vijana humu watapata ajira lkn wakishaingia kazini wasibweteke Bali waongeze maarifa
 
Back
Top Bottom