Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha makasiriko kijana, haya ni Maisha Tu, na wewe Muda wako ukifika , utapata Tu,Kipindi Cha JK ndio vilaza i.e Incompetent, wengi sana waliingia kwenye Utumishi wa umma
Duh pole sana I feel you, usikate tamaaNimeenda ofisini kwao siku ya kwanza niliambiwa niwaambie emails yangu nikafanya ivyo nikaambiwa nitajibiwa kwa Email lakini ikawa kimya, baada ya siku kadhaa nikaenda nikamkuta mwingine nilichokutana nacho ni dharau na majibu ya kebehi leo wametoa majina ya nyongeza lakini jina langu halipo. Nimateso sana afu ni sehem niliyotegemea sana
Please jitahidi uende, ata kesho asubuh usiridhike na majibu ya mtu mmoja,Nifanyeje hapo kama kuna njia nyingine naomba ushauri maana interview jumapili.
huyu naona anasubiri p ya TRA soon itatoka usiwe na makasiriko na utapata kiongozi vuta subraAcha makasiriko kijana, haya ni Maisha Tu, na wewe Muda wako ukifika , utapata Tu,
Ibaki juhudi za kukandana sasaHawa walioitwa Usaili REA watainjoi sana.. Naona wameongeza KANDA,,now Kuna mpaka Kanda ya Kusini Mashabiki(Mtwara), tabora n.k..
Hii Iko poa sana
suala la mikando ni changamoto maake PSRS wakikandwa kwao sawa ila cc sasa unaleta mkanganyiko ni balaaIbaki juhudi za kukandana sasa
Nimekaa kumbe nina interview LGA's na MDA mpaka wadau wakanisanua.Mi naugulia tu maumivu huku, LGA's and MDA's wamegoma kuniita interview kigezo eti sijaweka picha wakati interview zaidi ya 10 nimeitwa interview na sijawahi badili picha hata siku moja. Nimekosa kazi ya security officer II utadhani ndio imenipa mikosi😭😭😭
Afu pia hawana written ni oral tu then wamesogezewa kikanda,hii safi sanaHawa walioitwa Usaili REA watainjoi sana.. Naona wameongeza KANDA,,now Kuna mpaka Kanda ya Kusini Mashabiki(Mtwara), tabora n.k..
Hii Iko poa sana
Kz za mkataba hazina mambo mengiAfu pia hawana written ni oral tu then wamesogezewa kikanda,hii safi sana
Hahahaaa, wewe una barua mkononi, waachie wengine wapambanie kombeNimekaa kumbe nina interview LGA's na MDA mpaka wadau wakanisanua.
Mkuu we ni QS kabisa inaonekana.
Hongera Kwa jibu zuri.Mie ni CPA(T) mwenye uzoefu wa kazi za auditing mbalimbali .Hata nyie wakati wenu ukifika inabidi ujiongeze kujua mambo mengi kadri itakavyowezekana kutegemea na industry utakapokuwa placed Wengine,tupo hapa JF kujaribu ku-moderate discussion na kuwa-inspire vijana kupambanaForm IV leaver aijue wapi Bills of Quantitaties, wenye degree tu wengi wao hawaijui....jamaa itakua ndo profession yake kama si engineer.
naona hakunaWadau,, hakuna kaplacement Leo..?
Mkuu, mimi pia niko kwenye system teyari.Hongera Kwa jibu zuri.Mie ni CPA(T) mwenye uzoefu wa kazi za auditing mbalimbali .Hata nyie wakati wenu ukifika inabidi ujiongeze kujua mambo mengi kadri itakavyowezekana kutegemea na industry utakapokuwa placed Wengine,tupo hapa JF kujaribu ku-moderate discussion na kuwa-inspire vijana kupambana
Ila humu ukisema ndugu yangu kafanya interview unaambiwa ni wewe mwenyewe useme ukweli jamani na unashambuliwa kinomanomaMkuu, mimi pia niko kwenye system teyari.
Hata wakisema ukweli utabaki pale pale, vitu vingine una ignore tu.Ila humu ukisema ndugu yangu kafanya interview unaambiwa ni wewe mwenyewe useme ukweli jamani na unashambuliwa kinomanoma
Ok Vizuri,ndo maana hata Advocates aliyesomea Laws inabidi kufanya research kabla ya kum-cross examine shahidi ambaye ana taaluma ambayo Advocates hakuisomea such as Engineering,Accounting etc.My point ,Mungu ni Mwema vijana humu watapata ajira lkn wakishaingia kazini wasibweteke Bali waongeze maarifaMkuu, mimi pia niko kwenye system teyari.