Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😁😁😁 haya bhana kaka Ila hizi taasisi zenye marupurupa na scale salary za kipekee ndo inakuwa Coolest
 
Kama una Usaili we kapige mkuu, hata me nikiitwa hii received soon lazima niende maana ni taasisi nzuri sana
Hahahaha taasisi ni taasisi Kikubwa kuingia kwenye mfumo.Mshahara haujawahi tosha hata siku Moja.Sema mazingira tu ya kazi ya Sasa ndio yanavutia wengi.Mhe.Rais Dkt.Samia amejitahidi Sana kuwajali watumishi,wengi wao Tuko nao Mtaani wanatuhusia tupambane na sie tuingie kwenye Utumishi wa Umma.
 
Hali si njema sana naona wakandaji post zimewaishia
 

Attachments

  • SmartSelect_20230113-112352_Chrome.jpg
    SmartSelect_20230113-112352_Chrome.jpg
    213.5 KB · Views: 17
Hivi siku hizi kama huna kitambulisho chochote barua ya utambulisho wa mwenyekiti wa mtaa wanaikubali ?

Au mambo yamebadilika
 
Back
Top Bottom