Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha taasisi ni taasisi Kikubwa kuingia kwenye mfumo.Mshahara haujawahi tosha hata siku Moja.Sema mazingira tu ya kazi ya Sasa ndio yanavutia wengi.Mhe.Rais Dkt.Samia amejitahidi Sana kuwajali watumishi,wengi wao Tuko nao Mtaani wanatuhusia tupambane na sie tuingie kwenye Utumishi wa Umma.Kama una Usaili we kapige mkuu, hata me nikiitwa hii received soon lazima niende maana ni taasisi nzuri sana
Unapata alichopikanga Mungu,Kuna vile unataka iwe hivi,lakini Mungu anataka iwe hivi.😁😁😁 haya bhana kaka Ila hizi taasisi zenye marupurupa na scale salary za kipekee ndo inakuwa Coolest
FactUnapata alichopikanga Mungu,Kuna vile unataka iwe hivi,lakini Mungu anataka iwe hivi.
Tuko poa kaka,ushaenda DODOMA?Hope mko poa wote wapambanaji, mapambano yaendelee.
Ushafika Dom mkuuHope mko poa wote wapambanaji, mapambano yaendelee.
Maisha ni foleniVijana kama wote leo naona wanaenda masijala ya wazi ila wadada ndiyo wengi kuliko masela napishana nao tu masela trip ya tatu hii naenda wa mwaga Asha rose
Hali si njema sana naona wakandaji post zimewaishia
Naamini mpaka jumapili watafanya kitu mkuu,tuwe wapoleHali si njema sana naona wakandaji post zimewaishia
Maisha ni foleni
Siku zetu zinakaribia tumtangulize mungu mbele tuMaisha ni foleni
Leo kama Mzeeh wa flash asipofanya yake basi hii ngoma Hadi Next week
WanakubaliHivi siku hizi kama huna kitambulisho chochote barua ya utambulisho wa mwenyekiti wa mtaa wanaikubali ?
Au mambo yamebadilika
Wanakubali, Kikubwa Barua iwe na Majina sahihi kama yanavyoonekana kwenye vyeti vyakoHivi siku hizi kama huna kitambulisho chochote barua ya utambulisho wa mwenyekiti wa mtaa wanaikubali ?
Au mambo yamebadilika