Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kumbe ndo ivyo sikuelewa hii kitu , kusaini barua za placement zote sio mchezo ukizingatia ni yeye pekee wa kuzisaini
 
Niliona kwenye Placements wameishia hadi mwezi Wa kumi na Moja.Je mfano wale watu wa RUWASA waliofanya tarehe 28/11 inaweza chukua hadi lini Majina kutoka
Tubeti kwenye hii interval ya mwezi mmoja mmoja tu.

Hizi ni nadharia tunazojaribu kuziibua kuhusiana na placements maana jibu kamili bado halijapatikana la "Kwa nini placements zinachukua miezi ndipo zitoke?"
 
Naona hizi ajira za mkataba mfupi kwa electrical technicians REA wanafanya interviews kikanda ,vipi ndio utaratibu mpya kwamba Sahili zote za utumishi zitakuwa zinapigwa kikanda au ni baadhi ya sahili tu ?,maana naona kuna zile za taasisi flani za serikali pia siku chache nyuma hapo kama sikosei zilipigwa kikanda .
Mwenye uhakika na hili jambo naomba majibu
 

Nafikili kutokua na Technologia nzuri ndo chanzo cha hiki nowdays kuna electronic signature mfano unalipia control number ya police inatoka na signature ya IGP so hili pia linawezekana
 

Wingi wa waombaji ndio una determine pia
 
Sawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndugu uliye uaga ujobless
Hahahahaa, the process still going on.., ile furaha yako ya juzi ndio tunaisubiri sasa.

Halafu itafuatia ile furaha nyingine ya Atletico Madrid[emoji3]
 
Hahahahaa, the process still going on.., ile furaha yako ya juzi ndio tunaisubiri sasa.

Halafu itafuatia ile furaha nyingine ya Atletico Madrid[emoji3]
Mwifa ndugu yangu upoo? Naona hili jukwaa hubanduki hujapata kazi tu
 
Ulivyonisusa si bora nijichimbie huku[emoji3][emoji3]

Natembea majukwaa mengi, ila sijakuona kwa muda mrefu sana karibia mwaka, wewe ndio haupo
[emoji38][emoji38][emoji38]mbona hunitafuti hata kuniulizia? Na no zangu umepoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…