Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu hamna hata simu ukiripoti huondoki unasubiri wenzio wote mnafanyiwa training hadi saiv tunaingia kiukweli siku sio nying make hadi tarehe unaambiwa ya kuanza so ukiripoti ndo umefika

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Hahahaa, mzigo wa MNH nauelewa,tena maseniors watakuwa wamefurahi kwa kupata wasaidizi..

Pigeni mzigo kilubwa ikifika mwisho wa mwezi mpate chenu na wala wasije wakawaambia mchakato bado ambapo ilipaswa ndio waje wawaite ukishakamilika.

Mlishagawanywa wengine kwenda Mloganzila au hadi mpate training kwanza?
 
[emoji38][emoji38][emoji38]mbona hunitafuti hata kuniulizia? Na no zangu umepoteza
Wewe si uliamua kwenda ughaibuni bila hata kunipa lift na mimi nikaoshe macho huku, ni jinsi gani ulivyonitupa kiasi hicho[emoji3525]

Mimi nipo hapa kama unavyoniona, nafurahi kuwa umerudi salama, karibu sana
 
Ughaibuni ee[emoji38][emoji38]inshalllah tutarudi wote
Hivi utumishi majibu ya written wanatoaga baada ya siku ngap?
 
Kwema!!?
Ajamani hivi kuna mtu aliingia kwenye kikao cha aptitude cha psrs juu ya maoni tume ya ajira,???
Walizungumziaje suala la kazi zinazoambatisha kada tofautitofauti, mtu aliyefanya usaili kada ya operation na amesoma HR anawezaje kufaidika na upatikanaji wa nafasi kwa kazi ya HR kutokea database??
 
Ughaibuni ee[emoji38][emoji38]inshalllah tutarudi wote
Hivi utumishi majibu ya written wanatoaga baada ya siku ngap?
Inategemeana na ratiba zao za oral, yanaweza kutoka hata siku ile ile.

Mara nyingi huwa wanasema yatatoka siku fulani au kuanzia siku fulani
 
Naona tar 13 ndo imeisha hvyo bila placement.. Usikute barua zetu tayari zishaandaliwa huko kama alivyosema mkuu Mwifwa Ila mpaka kutangaza pdf ndo mwezi mmoja tena mbele..
Hebu tuendelee kusubiri..
Barua zetu tayari kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…