Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahaa, mzigo wa MNH nauelewa,tena maseniors watakuwa wamefurahi kwa kupata wasaidizi..Mkuu hamna hata simu ukiripoti huondoki unasubiri wenzio wote mnafanyiwa training hadi saiv tunaingia kiukweli siku sio nying make hadi tarehe unaambiwa ya kuanza so ukiripoti ndo umefika
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Pigeni mzigo kilubwa ikifika mwisho wa mwezi mpate chenu na wala wasije wakawaambia mchakato bado ambapo ilipaswa ndio waje wawaite ukishakamilika.
Mlishagawanywa wengine kwenda Mloganzila au hadi mpate training kwanza?