Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ahaaa sawa kaka, wengine huu mwezi Sasa tunasubiria kupigiwa simu
Kwa maelezo niliyopata kutoka kwa mdau mmoja alisema.
Baada ya waajiriwa wapya wote kuripoti kazini mwajiri atachukua copy ya vyeti na kwenda kuvihakiki NECTA ili kuepusha mambo ya vyeti feki ambayo yalitokea kipindi cha nyuma.
Kwahiyo baada ya Siku 14/ wiki mbili mwajiri anapeleka vyeti NECTA kuhakiki. Kadri munavyokuwa wengi ndo zoezi la uhakiki linavyochukua muda (Yeye alisema uhakiki unaweza kuchukua wiki moja).
Baada hapo wanaanza kuingiza majina ya ajira mpya kwenye mfumo, kuanda check Namba na kupanga vituo vya kazi.
Ukiangalia hapo process zote hizo mpaka kukamilika inachukua muda sio chini ya mwezi.
Mtu anaweza kujiuliza kwanin wapeleke baada ya siku 14?
Barua ya kupangiwa kituo cha kazi inasema unatakiwa kuripoti ndani ya siku 14 kwahiyo wao wanasubiri wote mripoti ndo wapeleke vyeti vyote kwa pamoja.
Mkiripoti wote mapema zoezi la uhakiki linawahi zaidi.
Mdau huyo alisema mengi hapo nimejitahidi kusummarize.
 
Naona tar 13 ndo imeisha hvyo bila placement.. Usikute barua zetu tayari zishaandaliwa huko kama alivyosema mkuu Mwifwa Ila mpaka kutangaza pdf ndo mwezi mmoja tena mbele..
Hebu tuendelee kusubiri..
Barua zetu tayari kabisa
Inaweza kuwa hivyo mkuu, tuishi kwenye hiyo nadharia kwanza
 
Ahsante kwa muongozo, ushapeleka barua mkuu?
 
@mwifa

Nilikuambia my brother kua mwaka huu june haitafika na utakua umeshalamba asali tayari.

Umepambana sana mzee,so you deserve it.

Tunategemea uende ukawe mtumishi mwema.

Pia tunategemea kua hautawaambia vijana kua wanabweteka na wajiajiri.

Congratulations once again fella.[emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo taasisi/mwajiri ndio anazingua kwa kutofanya follow up haraka ili taratibu zikamilike.

Mlijaza doxc nyingi ambazo zinahitajika kujazwa sehemu/mamlaka nyingine pia?
Tulijaza taarifa kwenye excel kama jina, degree, masomo, NIDA, namba ya bank, namba za simu, form four and six index number.

Pia tukaacha copy mbili za kila cheti na wakascan vyeti vyote.
 
Asante Kwa maelezo
 
U made it u made
Congratulations ....keep bring to us madini don't left us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…