Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ahsante sana mkuu, mimi nipo siondoki, majukumu yakianza, humu sitakosa dk 10 za kuchungulia
Bravo bro nyie bado tunawategemea sana
Maana sie wachanga kwenye industry inabdi mtunoe kabsa nini tunatakiwa kufanya ili na sisi miaka ijayo tuwe kwenye mfereji wa asali
 
Ahsante sana mkuu. Mungu ni mwema.

Hata kama kuna kubweteka au kusahau mambo ila yule aliyepitia msoto wa namna hii halafu baadae aanze kuwashauri wengine wajiajiri huyu atakuwa na mushkeli kwenye Gavo yake ya Oblongata. Mungu aepushe hilo
 
Jobless wanaendelea kufyatuliwa kila mwaka, labda ambao tupo sasa hadi mwaka huo tutakuwa tumeisha au kubaki wachache
Mr...!! Kuisha jobless hii nchi..!! hv hz kazi mlizopata nyie watu wachache au wadau wachache wa huu Uzi ndo mnaona jobless wanaisha eeeh.. jobless wenye vyeti vyao wako wengi. Na mwaka huu kufika July vyuo vinatema jobless kibao.
 
Tulijaza taarifa kwenye excel kama jina, degree, masomo, NIDA, namba ya bank, namba za simu, form four and six index number.

Pia tukaacha copy mbili za kila cheti na wakascan vyeti vyote.
Naona kila mwajiri ana utaratibu wake wa kuwapokea wakandwaji.

Sisi tumejaza tu fomu ambapo na mamlaka zingine zitajaza sehemu zao then wakamilishe mchakato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…