Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ahsante sana mkuu, mimi nipo siondoki, majukumu yakianza, humu sitakosa dk 10 za kuchunguliaU made it u made
Congratulations ....keep bring to us madini don't left us
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana mkuu, mimi nipo siondoki, majukumu yakianza, humu sitakosa dk 10 za kuchunguliaU made it u made
Congratulations ....keep bring to us madini don't left us
Bravo bro nyie bado tunawategemea sanaAhsante sana mkuu, mimi nipo siondoki, majukumu yakianza, humu sitakosa dk 10 za kuchungulia
hahahaaMkuu, wewe tena usingeuka mkono hoja ningeumia sana.
Sawa mkuu, tusubiri simu sasaTayari mkuu
Ahsante sana mkuu. Mungu ni mwema.@mwifa
Nilikuambia my brother kua mwaka huu june haitafika na utakua umeshalamba asali tayari.
Umepambana sana mzee,so you deserve it.
Tunategemea uende ukawe mtumishi mwema.
Pia tunategemea kua hautawaambia vijana kua wanabweteka na wajiajiri.
Congratulations once again fella.[emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr...!! Kuisha jobless hii nchi..!! hv hz kazi mlizopata nyie watu wachache au wadau wachache wa huu Uzi ndo mnaona jobless wanaisha eeeh.. jobless wenye vyeti vyao wako wengi. Na mwaka huu kufika July vyuo vinatema jobless kibao.Jobless wanaendelea kufyatuliwa kila mwaka, labda ambao tupo sasa hadi mwaka huo tutakuwa tumeisha au kubaki wachache
Naona kila mwajiri ana utaratibu wake wa kuwapokea wakandwaji.Tulijaza taarifa kwenye excel kama jina, degree, masomo, NIDA, namba ya bank, namba za simu, form four and six index number.
Pia tukaacha copy mbili za kila cheti na wakascan vyeti vyote.
Hahahaa, nyuzi za viwanja, kujenga zipo tele kwenye majukwaa husikaItabidi wafungue uzi mpya, huu ue uzi wa viwanja nyumba etc!
Ahaa kwaiyo hamjacha hardcopy na soft copy ya vyeti na documents nyengine??Naona kila mwajiri ana utaratibu wake wa kuwapokea wakandwaji.
Sisi tumejaza tu fomu ambapo na mamlaka zingine zitajaza sehemu zao then wakamilishe mchakato
Baada ya kujaza fomu zao, tukaacha na hard copy ya nyaraka zetu zoteAhaa kwaiyo hamjacha hardcopy na soft copy ya vyeti na documents nyengine??
Ahaa, vip ile barua ya mwajiri mmepewa??Baada ya kujaza fomu zao, tukaacha na hard copy ya nyaraka zetu zote
Sawa bossKila mwajiri ana taratibu zake mwingne baada ya siku 14 kazi unaanza wengine hata Miez 6 inategemea uhitaji na taasisi mfano kuna taasisi hadi ufike makao makuu ndo wakupangie wapi utaenda
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Mkuu, wewe sindo ulifuata barua sekretariat ya ajira wakakwambia hawaoni barua yako? Vp ulifanikiwa?Waheshimiwa,
Ndoige tunazopigwa na PSRS ziwe sehemu ya kutukomaza, ila zisitukatishe tamaa.
Leo ulikuwa kwenye mkando tena..?Waheshimiwa,
Ndoige tunazopigwa na PSRS ziwe sehemu ya kutukomaza, ila zisitukatishe tamaa.
Aje atupe mrejesho aisee, nilisahau hili sakataMkuu, wewe sindo ulifuata barua sekretariat ya ajira wakakwambia hawaoni barua yako? Vp ulifanikiwa?
Kaka, nilizungushwa takriban mwezi mzima, hatimaye nimeipata juzi.Mkuu, wewe sindo ulifuata barua sekretariat ya ajira wakakwambia hawaoni barua yako? Vp ulifanikiwa?