Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Noted afsa
 
daah sawa mkuu
 
Maswali ya form 2 haya kabisa ...nimesoma bookkeeping kitambo sana olevel huko na wala mimi si fani yangu kwa sasa, ila ilo pepa naweza kujibu. Kwa mtu mwenye degree ya accounting hili pepa ni jepesi mno, labda ashindwe skills za namna ya kujibu mtihani tu.
 
Ubay wa pepa nyepes ctting point inakua juu inabidi upige kiswa sawa hawachelw kukatia 80 huko
 
K

Kwenye hili jukwaa, sote ni ndugu, marafiki, dada, kaka nk kwa sababu tupo pamoja na lengo letu ni moja.

Ndio maana member akifaulu au kupata kazi tunapongezana utafikiri tumewahi kuishi pamoja.
Veryyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

Gooooooooooooooooooooooooooooooodd

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wenye account (sio wote) walisoma standards, madepreciation IFRS na maconsolidation.

Alisikika mtu akisema hivyo sio mm[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…