Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sasa kwa uelewa huo kakaa utafanya kazi ya uhasibu upi? Hiyo doc imejieleza, complete set of financial statements coprises of; ...

Mwalimu wenu akawafundisha, complete set of financial statements comprises of five components.

Nikakueleza, kuna wanaotumia components wengine elements, bado maana ni ile ile.

Bado tena hujaelewa? Kama lugha inakupiga chenga, utaweza nini?
 
Nimekuletea pdf hiyo . . Ipitie kabla ya kumtusi mwalimu wangu, pemgine ndo huyo huyo mwalimu aliyekifundisha wewe
 
Ngoja tuone ila mimi niwe mkweli tu nilizishuka zile Revenue,Assets,Liabilities, Equity and Expense.so kama nimeenda chaka ndio hivyo nishaaga mashindano
 
Sawa kaka nakupata hiyo imejieleza "complete set of financial statements comprises of ..

Lakini kuna nyingine imekwenda straight bila kuacha swali, "elements of financial statements"

Sasa swali limekuja straight utaje elements .. How do you go about that?
 
Nimekuletea pdf hiyo . . Ipitie kabla ya kumtusi mwalimu wangu, pemgine ndo huyo huyo mwalimu aliyekifundisha wewe
Soma para .010 kwa utulivu wamezungumzia fs inahusu nini hasa.

Para .011 wamezungumzia general meaning ya element of f/s i.e types or classes of items that are reported in f/s it include notes.

Para .012 anachanganua, hiyo element inajumuisha nini, ndo hapo akasema "may" encampass i.e include assets and the stuffs
 

Attachments

  • Screenshot_20230115-004204.jpg
    156.5 KB · Views: 10
Kumbuka, tunapozungumzia Financial statements tunazungumzia IAS 1; Presentation of financial statements.

Standard inasema, " complete set of financial statements comprises of; ...

Katika ufundishaji, kumbuka inakua katika kauli taarifa, kuna uwezekano wa kupunguza au kuongeza maneno, kufikisha ujumbe na uelewa, ndo hapo, walimu ili kutengeneza statement iliyokamilika, husema, a complete set of financial statements comprises of the follewing elements/components;
 
Mkuu,huenda wewe ndiye mtunzi mwenyewe wa hiyo paper, maana unashuka madude hadi sio poa
Mie sio, ilikua nipige internal auditor, sikutokea tu kwa sababu moja mbili, accounting n financial reporting ni kitu nachokipenda, nasoma sana standard na vitabu niwe tu updated.
 
Mie sio, ilikua nipige internal auditor, sikutokea tu kwa sababu moja mbili, accounting n financial reporting ni kitu nachokipenda, nasoma sana standard na vitabu niwe tu updated.
Ooh..hongera
 
Ngoja tuone ila mimi niwe mkweli tu nilizishuka zile Revenue,Assets,Liabilities, Equity and Expense.so kama nimeenda chaka ndio hivyo nishaaga mashindano
Kama ndio hizo mbona zinafika 10 sasa? Hizi tunaziweke katika elements 5.
1. Income statements/Comprehensive income hapa utasema itaundwa na vitu kama
Revenue/income, expenses etc.

2. Balance Sheet/ Financial Position kwenye maelezo yako utasema ndani ya hii element utarekodi vitu kama Assets, Liability, Equity/Capital.

3. Cash Flow hapa kwenye maelezo utasema tunaweka vitu kama cash revenue nk

4. Changes in Equity hapa wakati unatoa maelezo utasema humu ndani utakutana na vitu kama income other than from investments nk

Nk nk nk nk nk...
Hivyo ndivyo inatakiwa kufanyika. Huwezi kusema hizo ni Elements za Financial statements with silence. Elements 5 ni hizo hapo juu.
Hizi unazotaja utazikuta hata 10 na zaidi. Mfano wewe LOSSES na GAIN utasema sio element kwa muktadha huo?
Unapoelezea hizo elements wewe elezea hizo 5 nilizoweka then hayo madudu yako utayagawanja according to hizo elements za msingi.

Sijui kama nimeeleza ambacho utapata picha.
 
Ila swali halikusema uandike 5 au 10 mkuu
 
Ila swali halikusema uandike 5 au 10 mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndio maana namuelekeza anayekomaa na hizo 5. Binafsi nikuombeeni kwa Mungu wote mpate kwa kadiri ya mlivyojibu.
Mm sio mmoja wa waliofanya hizo saili nimejaribu kuweka kutokana na uzoefu wangu na jinsi tunavyotumia hasi makazini.
 
Umefafanua vizuri kabisa, kila element/component inakua na item zake, na zinakua presented namna gani (lay-out)

Statement of financial position itajumuisha Assets, liabilities na equity

Statement of financial perfomance itajumuisha revenue, expenses and other comprehensive income.

Statement of changes in net equity itajumuisha capital, retained profit, drawings, net profit/loss made
N.k n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…