Sidhani kama uko sahihi mkuu ingawa mimi sio expert wa uhasibu.Mkando unaanzia hapa
Jibu ni
1. Revenue
2. Expenses
3. Assets
4. Equity
5. Liabilities
Huu uzi mpaka jamaa wa kuuza smart tv kwa bei ya 1mil+ alitamba kipindi fulani, hili litapita tu, tuvumiliane. Tutarudi kwenye subaruWa hasibu naona mmevurugwa sisi wengine tumewaachia ulingo mpigenae Ngumi tunawachora tu,,, placement ikija tutaomba mstop tujadili barua na mirejesho mbali mbali
Hizi ulizoandika wewe ni elements za income statement, balance sheet,cash flow etc.swali lilikutaka uandike elements za financial statements ambazo obvious huwa ziko 5 ambazo ni income statement, cash flow,owners equity statement, notes to financial statements na balance sheet.Mkando unaanzia hapa
Jibu ni
1. Revenue
2. Expenses
3. Assets
4. Equity
5. Liabilities
Sasa mkuu Income statement si ni Financial statement ikiwa moja?Sidhani kama uko sahihi mkuu ingawa mimi sio expert wa uhasibu.
Labda nikuulize,what if swali lingekutaka uandike elements za income statement au elements of financial position,ungeandika zipi?
Me nadhani huyo jamaa yuko sahihi kabisa.
One man downHizi ulizoandika wewe ni elements za income statement, balance sheet,cash flow etc.swali lilikutaka uandike elements za financial statements ambazo obvious huwa ziko 5 ambazo ni income statement, cash flow,owners equity statement, notes to financial statements na balance sheet.
Wahasibu mnafelije kizembe hivi?
Sio hivyo, FS ni mjumuiko wa hizo elements tano kwa pamoja.Sasa mkuu Income statement si ni Financial statement ikiwa moja?
Hatukatishani tamaa, paper ina maswali 4 yenye marks sawa, kupata hili au kukosa hakuathiri kupita kwenda stage nyingine, ikiwa mengine amafanya vema.Sipingani na huu mjadala ila naona msikatishane tamaa haya mambo uwa yanahitaji kutiana moyo kosoanaeni ila kistaarabu ,kuna mtu alinikosoaga hivi nilishangaa nilivyoenda oral sikumuona
Mkuu unasema alizoandika ni elements za income statement, balance sheet etc.. sasa tunakubaliana kwamba income statement na balance sheet ndo financial statements zenyenyewe?Hizi ulizoandika wewe ni elements za income statement, balance sheet,cash flow etc.swali lilikutaka uandike elements za financial statements ambazo obvious huwa ziko 5 ambazo ni income statement, cash flow,owners equity statement, notes to financial statements na balance sheet.
Wahasibu mnafelije kizembe hivi?
Kabisa, mimi ilishanitokea pia, mtu kanikosoa wee nlivyoenda oral sijamuona hadi no ake nlikuwa najua marks alizoambulia sasa, natamani ata hii shule wanayoitoa ingeletwa hapa baada ya matokei, kukatishana tamaa kunauma sanaSipingani na huu mjadala ila naona msikatishane tamaa haya mambo uwa yanahitaji kutiana moyo kosoanaeni ila kistaarabu ,kuna mtu alinikosoaga hivi nilishangaa nilivyoenda oral sikumuona
Sina nia ya kukubishia coz sio field yangu hiyo,ila nijuavyo Financia statement ili iwe kamili lazima ijumuishe hizo income statement, balance sheet etc.ndani ya hizo balance sheet na income statement ndiyo kuna hizo asset, Liabilities na revenue.nadhani ni lugha tu imekuchanganyaSasa mkuu Income statement si ni Financial statement ikiwa moja?
Zile hesabu za set za form two ukiziaply hapa unapata jibu
Ningeambiwa niandike element za Income statement ambayo ni one of financial statement ningeandika Expense na Income (Revenue) ..
Ila kwa kua tumeambiwa tuandike element za Financial statement zaidi ya moja ndo naongeza na za financial position ambazo ni assets, liability, Equity
Kuna moment mtu anakwambia kitu unajua kabisa yuko chaka ila inabidi umtie moyo wasahihishaji ndo uamua.Kabisa, mimi ilishanitokea pia, mtu kanikosoa wee nlivyoenda oral sijamuona hadi no ake nlikuwa najua marks alizoambulia sasa, natamani ata hii shule wanayoitoa ingeletwa hapa baada ya matokei, kukatishana tamaa kunauma sana
TrueKuna moment mtu anakwambia kitu unajua kabisa yuko chaka ila inabidi umtie moyo wasahihishaji ndo uamua.
Mi nilishangaa sana ao watu sikuwaona na idadi ya tuloitwa oral ilitimia
Paper ina maswali manne, yenye marks sawa, swali linalojadiliwa hapa lenye changamoto ni moja tu, mtu anakatishwaje tamaa hapo, au anaathirika vipi na kuvuka hatua inayofuata.Kabisa, mimi ilishanitokea pia, mtu kanikosoa wee nlivyoenda oral sijamuona hadi no ake nlikuwa najua marks alizoambulia sasa, natamani ata hii shule wanayoitoa ingeletwa hapa baada ya matokei, kukatishana tamaa kunauma sana
Kaka tumekuletea desa la NBAA ambalo najua hilo swali ndo walikolitoaSio hivyo, FS ni mjumuiko wa hizo elements tano kwa pamoja.
Desa la NBAASina nia ya kukubishia coz sio field yangu hiyo,ila nijuavyo Financia statement ili iwe kamili lazima ijumuishe hizo income statement, balance sheet etc.ndani ya hizo balance sheet na income statement ndiyo kuna hizo asset, Liabilities na revenue.nadhani ni lugha tu imekuchanganya
Huyo anazungumzia recognition of elements in the fsKaka tumekuletea desa la NBAA ambalo najua hilo swali ndo walikolitoa
Soma kwenye kiduara wanasema kabisa "in all cases the cost of the ELEMENTS should be accurately measured
Na elements zimeainishwa hapo View attachment 2481732
Kaka tangu jana nilikwambia unazozitaja ni Components ameandika vizuri sanaHuyo anazungumzia recognition of elements in the fs
Na vipi kuhusu desa hili hapa chini?