Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkando unaanzia hapa
Jibu ni
1. Revenue
2. Expenses
3. Assets
4. Equity
5. Liabilities
Sidhani kama uko sahihi mkuu ingawa mimi sio expert wa uhasibu.
Labda nikuulize,what if swali lingekutaka uandike elements za income statement au elements of financial position,ungeandika zipi?
Me nadhani huyo jamaa yuko sahihi kabisa.
 
Wa hasibu naona mmevurugwa sisi wengine tumewaachia ulingo mpigenae Ngumi tunawachora tu,,, placement ikija tutaomba mstop tujadili barua na mirejesho mbali mbali
Huu uzi mpaka jamaa wa kuuza smart tv kwa bei ya 1mil+ alitamba kipindi fulani, hili litapita tu, tuvumiliane. Tutarudi kwenye subaru
 
Mkando unaanzia hapa
Jibu ni
1. Revenue
2. Expenses
3. Assets
4. Equity
5. Liabilities
Hizi ulizoandika wewe ni elements za income statement, balance sheet,cash flow etc.swali lilikutaka uandike elements za financial statements ambazo obvious huwa ziko 5 ambazo ni income statement, cash flow,owners equity statement, notes to financial statements na balance sheet.
Wahasibu mnafelije kizembe hivi?
 
Sidhani kama uko sahihi mkuu ingawa mimi sio expert wa uhasibu.
Labda nikuulize,what if swali lingekutaka uandike elements za income statement au elements of financial position,ungeandika zipi?
Me nadhani huyo jamaa yuko sahihi kabisa.
Sasa mkuu Income statement si ni Financial statement ikiwa moja?

Zile hesabu za set za form two ukiziaply hapa unapata jibu

Ningeambiwa niandike element za Income statement ambayo ni one of financial statement ningeandika Expense na Income (Revenue) ..

Ila kwa kua tumeambiwa tuandike element za Financial statement zaidi ya moja ndo naongeza na za financial position ambazo ni assets, liability, Equity
 
Hizi ulizoandika wewe ni elements za income statement, balance sheet,cash flow etc.swali lilikutaka uandike elements za financial statements ambazo obvious huwa ziko 5 ambazo ni income statement, cash flow,owners equity statement, notes to financial statements na balance sheet.
Wahasibu mnafelije kizembe hivi?
One man down
 
Sipingani na huu mjadala ila naona msikatishane tamaa haya mambo uwa yanahitaji kutiana moyo kosoanaeni ila kistaarabu ,kuna mtu alinikosoaga hivi nilishangaa nilivyoenda oral sikumuona
Hatukatishani tamaa, paper ina maswali 4 yenye marks sawa, kupata hili au kukosa hakuathiri kupita kwenda stage nyingine, ikiwa mengine amafanya vema.
 
Hizi ulizoandika wewe ni elements za income statement, balance sheet,cash flow etc.swali lilikutaka uandike elements za financial statements ambazo obvious huwa ziko 5 ambazo ni income statement, cash flow,owners equity statement, notes to financial statements na balance sheet.
Wahasibu mnafelije kizembe hivi?
Mkuu unasema alizoandika ni elements za income statement, balance sheet etc.. sasa tunakubaliana kwamba income statement na balance sheet ndo financial statements zenyenyewe?

Yaani kama Assets, Liability, Expenses ni elements za Income statement na Balance sheet

Halafu Income statement na Balance sheet ndo Financial statements

Sasa element za income statement na balance sheet (ambazo ndo FS zenyewe) zitakuwaje tofauti?

Tumia tuke tuhesabu twa set twa form two
 
Sipingani na huu mjadala ila naona msikatishane tamaa haya mambo uwa yanahitaji kutiana moyo kosoanaeni ila kistaarabu ,kuna mtu alinikosoaga hivi nilishangaa nilivyoenda oral sikumuona
Kabisa, mimi ilishanitokea pia, mtu kanikosoa wee nlivyoenda oral sijamuona hadi no ake nlikuwa najua marks alizoambulia sasa, natamani ata hii shule wanayoitoa ingeletwa hapa baada ya matokei, kukatishana tamaa kunauma sana
 
Sasa mkuu Income statement si ni Financial statement ikiwa moja?

Zile hesabu za set za form two ukiziaply hapa unapata jibu

Ningeambiwa niandike element za Income statement ambayo ni one of financial statement ningeandika Expense na Income (Revenue) ..

Ila kwa kua tumeambiwa tuandike element za Financial statement zaidi ya moja ndo naongeza na za financial position ambazo ni assets, liability, Equity
Sina nia ya kukubishia coz sio field yangu hiyo,ila nijuavyo Financia statement ili iwe kamili lazima ijumuishe hizo income statement, balance sheet etc.ndani ya hizo balance sheet na income statement ndiyo kuna hizo asset, Liabilities na revenue.nadhani ni lugha tu imekuchanganya
 
Kabisa, mimi ilishanitokea pia, mtu kanikosoa wee nlivyoenda oral sijamuona hadi no ake nlikuwa najua marks alizoambulia sasa, natamani ata hii shule wanayoitoa ingeletwa hapa baada ya matokei, kukatishana tamaa kunauma sana
Kuna moment mtu anakwambia kitu unajua kabisa yuko chaka ila inabidi umtie moyo wasahihishaji ndo uamua.

Mi nilishangaa sana ao watu sikuwaona na idadi ya tuloitwa oral ilitimia
 
Kabisa, mimi ilishanitokea pia, mtu kanikosoa wee nlivyoenda oral sijamuona hadi no ake nlikuwa najua marks alizoambulia sasa, natamani ata hii shule wanayoitoa ingeletwa hapa baada ya matokei, kukatishana tamaa kunauma sana
Paper ina maswali manne, yenye marks sawa, swali linalojadiliwa hapa lenye changamoto ni moja tu, mtu anakatishwaje tamaa hapo, au anaathirika vipi na kuvuka hatua inayofuata.

Kingine cha kukitambua hapa, inawezekana kabisa kuna watu wako katika huu mjadala wakiwa wameandika tofauti na wanachokitetea hapa. Hizi challange tunajadili kuelimishana kwa faida ya sahili nyingine ndani au nje ya utumishi.
 
Sio hivyo, FS ni mjumuiko wa hizo elements tano kwa pamoja.
Kaka tumekuletea desa la NBAA ambalo najua hilo swali ndo walikolitoa

Soma kwenye kiduara wanasema kabisa "in all cases the cost of the ELEMENTS should be accurately measured

Na elements zimeainishwa hapo
Screenshot_2023-01-15-10-46-41-766_cn.wps.moffice_eng.jpg
 
Sina nia ya kukubishia coz sio field yangu hiyo,ila nijuavyo Financia statement ili iwe kamili lazima ijumuishe hizo income statement, balance sheet etc.ndani ya hizo balance sheet na income statement ndiyo kuna hizo asset, Liabilities na revenue.nadhani ni lugha tu imekuchanganya
Desa la NBAA
Screenshot_2023-01-15-10-46-41-766_cn.wps.moffice_eng.jpg
 
Kaka tumekuletea desa la NBAA ambalo najua hilo swali ndo walikolitoa

Soma kwenye kiduara wanasema kabisa "in all cases the cost of the ELEMENTS should be accurately measured

Na elements zimeainishwa hapo View attachment 2481732
Huyo anazungumzia recognition of elements in the fs
Na vipi kuhusu desa hili hapa chini?
 
Attachments

  • Screenshot_20230115-074542_Adobe Acrobat.jpg
    Screenshot_20230115-074542_Adobe Acrobat.jpg
    114.2 KB · Views: 11
Huyo anazungumzia recognition of elements in the fs
Na vipi kuhusu desa hili hapa chini?
Kaka tangu jana nilikwambia unazozitaja ni Components ameandika vizuri sana

Then chini pale ameainisha elements kwenye kila component kwa mfano kaanza na elements za Income statement kazitaja Asset, Liability na Equity

Mimi reference zangu zote tangu jana kwenye IFAC na leo kwenye NBAA wanaenda wanazimention bila kupepesa

Wewe references zako lazima uje ulete opinions zako na kujenga hoja na kufanya tafsiri na sio kwamba kimeandikwa moja kwa moja

Sasa hapa nionyeshe wapi wamenandika elements ni hizo?

Maana kwenye neno elements wamekuja kuziainisha chini huko za income statement
 
Trade officer ii
1. Liquor law license restrictions
2.Advantages of Selling on Credit
3.Factor to consider before price of produce
4. Short Notes
Production
Utility
Trade
Opportunity cost
 
Back
Top Bottom