Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sidhani kama uko sahihi mkuu ingawa mimi sio expert wa uhasibu.
Labda nikuulize,what if swali lingekutaka uandike elements za income statement au elements of financial position,ungeandika zipi?
Me nadhani huyo jamaa yuko sahihi kabisa.
Nipo kujifunza kwahiyo I will take my time to educate my self Mkuu.
 
Angalia usije ukawa surprised matokeo yakitoka mkuu.majibu ya hilo swali sio hayo unayoyalazimishia.
Mkuu tatizo unaniambia majibu yako unayotoa kichwani bila reference

Mimi nimekuletea reference pdf ya NBAA, IFAC.. Unless wewe ndo uliziandika hizo pdf na unakili kwamba uliandika kimakosa

Kua surprised siwezi, maana nimefanya interview nyingi ambazo sikufanikiwa na hata hizi ni marks 25 ambazo naweza kupata then nikakosa maswali mengine
 
Hyo pepa ya Accounts mbona nyeupe hvo wana lengo gani hao jamaa
 
Ebu pitia hiyo document mkuu,then utajua which is which.
 

Attachments

Kwenye framework wanansema wazi Cashflow statement haina elements yenyewe kama yenyewe .. Inatumia elements za Income statements. Na ndo maana tunabaki nazo hizi tano

Equity, Income, Liability, Expense na Assets

Hii ameituma Perry hapa
 
Hizo nilizokupa ndio ukweli huo. Umetaka huo ndio ukweli, hutaki huo ndio ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…