kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Naona hatimae umekubali yaishe mkuu.🤣🤣🤣🤣🤣😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hatimae umekubali yaishe mkuu.🤣🤣🤣🤣🤣😂
IAS 1 - According to KaplanYou've to understand this, when there is contradiction between the framework na any provision of standard, IAS's, the provision/standard prevails.
Usiitegemee hiyo framework katika arguments zako, tumia Standards, the framework inatoa muongozo tu.
"When there is contradiction" .. There isn't any contradiction to begin with, you are just bringing forcefullyYou've to understand this, when there is contradiction between the framework na any provision of standard, IAS's, the provision/standard prevails.
Usiitegemee hiyo framework katika arguments zako, tumia Standards, the framework inatoa muongozo tu.
It's true ni mpaka kuwe na contradiction ndio specific standard prevail"When there is contradiction" .. There isn't any contradiction to begin with, you are just bringing forcefully
Mkuu, hilo ni angalizo tu, pale inapotokea issue kama hizo, na hapo issue ipo, huoni mnatumia framework kama reference, mnaacha IAS 1"When there is contradiction" .. There isn't any contradiction to begin with, you are just bringing forcefully
Mkuu,kubali yaishe maisha mengine yaendelee 😁😁Mkuu, hilo ni angalizo tu, pale inapotokea issue kama hizo, na hapo issue ipo, huoni mnatumia framework kama reference, mnaacha IAS 1
Mkuu,kubali yaishe maisha mengine yaendelee 😁😁
Kaka bora hukutokea .. Ungeanza kuhesabia 75, Maana 25 za hili swali zilikua zimeyeyuka
Jokes[emoji38]
Umepewa ushahidi usiotia shaka.so waombe radhi vijana kwa kutaka kuwaingiza chakaMkuu, nilikua nimeshatupa taulo ulingoni, kuwapa time mpaka matokeo yatoke, wamenirudisha tena, 🤣
Hilo mnalobishania lingekua lishakukanda tayari.Mimi nilikua upande wa Internal Auditor Mkuu, ningeomba Accounts mda huu ningekua nasherehekea kuwakanda hawa jamaa, maana sijaona swali changamoto, hata wangekatia 70% ningekua sure nimo🤣
Ulipitia kwenye madoso nini?Mkuu, nilikua nimeshatupa taulo ulingoni, kuwapa time mpaka matokeo yatoke, wamenirudisha tena, 🤣
Mkuu copy ya IAS 1 pdf niliwatumia hao jana, kuna sehem hawataki kukubali kwa sababu ni nature ya binadam, hupenda kusikia kile kinachompa faraja.Umepewa ushahidi usiotia shaka.so waombe radhi vijana kwa kutaka kuwaingiza chaka
Hii mbona haifunguki
Basi tukubali kuwa majibu ya hilo jibu kwa mujibu wa psrs ni asset,Liabilities, revenue,equity na expenses.Mkuu copy ya IAS 1 pdf niliwatumia hao jana, kuna sehem hawataki kukubali kwa sababu ni nature ya binadam, hupenda kusikia kile kinachompa faraja.
Hiyo ni account yao hapa jfHii mbona haifunguki
Huyo kawaalika wakandaji waje washuhudie mnavobishana.Hii mbona haifunguki
Hatuwezi kubaliana hivo, na sababu nimekupa.Basi tukubali kuwa majibu ya hilo jibu kwa mujibu wa psrs ni asset,Liabilities, revenue,equity na expenses.
Umepewa majibu kutoka vyanzo vya kuaminika na umeshindwa kupangua hoja.Hatuwezi kubaliana hivo, na sababu nimekupa.