Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 597
- 975
Nme wa Tag waje kuwajibu maswal yenu ila PSRS nawakubal kinyama hakuna mbamba mba ni wew na Akili yakoHii mbona haifunguki
Uanze kuvuta mirija ya Asal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nme wa Tag waje kuwajibu maswal yenu ila PSRS nawakubal kinyama hakuna mbamba mba ni wew na Akili yakoHii mbona haifunguki
Hizo zote ni creteria/sifa unazotumia kudefine na ku-recognize hizo item ili uweze andaa f/s.
Umejitahidi kufafanua, hatuangalii ukamilifu wa swali, maana ukitoka katika mkando ni ngumu kubeba swali kama lilivowekwa katika paper, nafikiri key concept aliibeba.Swali mnalobishania mwandishi amekosea kuliandika
Lilikua linasema Elements of financial statement,hilo neno statement halikua na herufi (S) mwandishi yeye kaandika Elements of financial statements.
Ukiangalia hivyo ni vitu viwili tofauti vyenye majibu tofauti.
Concept yake imeleta mkanganyiko na ndio maana so far hakuna aliyepatia jibu sahihi.Umejitahidi kufafanua, hatuangalii ukamilifu wa swali, maana ukitoka katika mkando ni ngumu kubeba swali kama lilivowekwa katika paper, nafikiri key concept aliibeba.
SawaConcept yake imeleta mkanganyiko na ndio maana so far hakuna aliyepatia jibu sahihi.
Eeh aisee basi kazi ipo [emoji1787]Concept yake imeleta mkanganyiko na ndio maana so far hakuna aliyepatia jibu sahihi.
Kama ndivyo basi majibu yatakuwa yale yale ambayo Orosso na CARDLESS wameyasema.Swali mnalobishania mwandishi amekosea kuliandika
Lilikua linasema Elements of financial statement,hilo neno statement halikua na herufi (S) mwandishi yeye kaandika Elements of financial statements.
Ukiangalia hivyo ni vitu viwili tofauti vyenye majibu tofauti.
Yeah,nimewakanda haswa.Eeh aisee basi kazi ipo [emoji1787]
Hongera kaka kwa shtuka na kupata peke yako hili swali, @psrs watajuta kwa ulivyowakanda.
Sasa mtu unaquote kitu hujakisoma kimetokea wapi wala hujaelewa mantiki yake, ndio maana nimeuliza kuhusu lunch imepatikana au umeshindia mihogo?Hii chakula cha mchana inahusianaje na majadiliano yenu? Acha maneno ya kebehi kama intellectuals mnatakiwa mu argue kwa point lengo likiwa sio kumtafuta mshindi bali kutambua kipi ni sahihi ili next time msipate tabu hiyo tena.
Kwamba ACCA haiko applicable hapa Tanzania?Kasome IAS 1 hao ndio wanatakiwa kutumika.
Kilichokua applicable ni hiyo standard, IAS 1. umeisoma huko ACCA au hapa hapa kwa Mama Daktari, IAS ni ile ile.Kwamba ACCA haiko applicable hapa Tanzania?
Ni kweli muandishi kakosea kuliandika kwa kuweka herufi (s) mbele lakini sioni kama kuna namna yoyote ilivyoliathiri hilo swali.Swali mnalobishania mwandishi amekosea kuliandika
Lilikua linasema Elements of financial statement,hilo neno statement halikua na herufi (S) mwandishi yeye kaandika Elements of financial statements.
Ukiangalia hivyo ni vitu viwili tofauti vyenye majibu tofauti.
Sawa Mkuu nafikiri ulikuwa na lunch nzuri sana Serena Hotel.Sasa mtu unaquote kitu hujakisoma kimetokea wapi wala hujaelewa mantiki yake, ndio maana nimeuliza kuhusu lunch imepatikana au umeshindia mihogo?
ACCA, CPA (T), CIMA ni kitu kinachofanana.Kwamba ACCA haiko applicable hapa Tanzania?
Karibu WAVUVI KEMPU mkuu, njoo upate chochote kitu, maisha mafupi haya kwann ujipe stress?Sawa Mkuu nafikiri ulikuwa na lunch nzuri sana Serena Hotel.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona mtu ana makasiriko makuu, imebidi nimualike Lunch tu sasa.Kwahiyo mmehamia kwenye lunch na mihogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]