Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu nina military training nimefundishwa namna ya ku battle na physical and Mental pressure nina uhakika nikiamua kutoboka ubongo hautaweza kunivumilia, ndo maana mara zote huwa nakuwa optimistic na majibu yangu, don't ever dare me SON.
We jamaa hiko ndio nini, Military training ndio kitu cha maana? Nani ambaye hajapitia huo MCHAKAMCHAKA?

Punguza njaa na makasiriko, tuko hapa kufundishana, shida zako usizilete hapa.

Yaan kuambiwa umepata chakula cha mchana ni kitu cha kupanik? Afu mbona hujaambiwa wewe?
Vumilia utapata tu ajira, ukiingia kwenye mitandao acha shida na manyanyaso ya familia yenu na uje huku kwa bashasha na amani ya moyo utafurahia sana maisha.
 
Jamaa hautafanikiwa kunivusha kwenye mstari maana hautanisahau nakuambia, una arrogance sana.

Acha nimalize kwa kusema umeshinda.
 
Kaka hao huwawezi kwa maana wamecrem uhasibu

I hate huwa sipendi ugomvi na huwa si entertain abuse kwangu ama kwa mtu yoyote yule, binadamu wote ni sawa hata tukipishana kauli kitu cha msingi ni kulinda utu wa mtu, kwanza hii interview hata hainihusu ila niliona nitoe mawazo yangu kama mshikadau.

Nimeshangazwa na huyu jamaa namna alivyo na kiburi cha uzima ila acha nimpotezee, maana ha deserve my attention sababu anajiona yupo well off. I rest my case here.
 
Wakuu financial statement ni taarifa za mahesabu kuhusiana na rasilimali za kampuni(asset), madeni ya kampuni (liabilities), mitaji ya kampuni (equity), mapato ya kampuni (income) na matumizi ya kampuni (expenses)
 
Ila sasa aina ya taarifa tunazozitaka kutoa ndio zinatengeneza set za F/S.
Mfano:
Nataka kuonesha transactions between entity na third party ( excluding owners) during the year, ndio naelezea hizi element kwenye Income statement.
Nataka kuonesha transactions between company na owners wake, ndio naelezea kwenye Statement of change in owner equity
Nataka kuelezea mzunguko wa fedha kati ya wote third party na owners against company naelezea hizohizo element kupitia Cash flow statement
Nataka kuelezea msimamo wa Mali na madeni mpaka mwishoni mwa mwaka, ndio naelezea kweny SFP
Nataka nitoe maelezo ya kina kuhusiana na taarifa za juu, ndio natoa disclosure note.
Ni hayo tu
 
Ilikua jana,sikutokea mkuu, kuna sababu moja na mbili zilikua kikwazo.

Hujapokea simu mkuu[emoji338][emoji390]
Sawa mkuu, pole kwa kukumbwa na hivyo vikwanzo hivyo

Simu bado, wengine ndio wanapeleka barua kesho.

Simu hadi mwishoni mwa mwezi huu ndio tutaanza kutega masikio
 
See below
20230115_171448.jpg
 
1.Different between physical and logical network

2. wireless network is a part of physical or logical network explain why

3.importance of Network

hayo ni maswali ya kada ya ICT niliyowahi kutana nayo interview mie nimefanya interview mbili tu so mengine maswali yalikua hayajakaa ki ICT yalikua ki ualimu kama mambo ya Curriculum programme preparing na lesson plan
na maswali hayo ya ICT yalitokana na topic nilizopresent pia Kuna jamaaa aliulizwa

4. Smart phone screen touch is an input device or output device explain why

maswali mengine ni Hilo la introduce yourself pia tegemea swali linalohusu challenge au jinsi ya kusolve challenge Fulani
 
I hate huwa sipendi ugomvi na huwa si entertain abuse kwangu ama kwa mtu yoyote yule, binadamu wote ni sawa hata tukipishana kauli kitu cha msingi ni kulinda utu wa mtu, kwanza hii interview hata hainihusu ila niliona nitoe mawazo yangu kama mshikadau.

Nimeshangazwa na huyu jamaa namna alivyo na kiburi cha uzima ila acha nimpotezee, maana ha deserve my attention sababu anajiona yupo well off. I rest my case here.
Shida ni kwamba sijakuambia wewe, au una ID mbili mkuu??
 
Back
Top Bottom