Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Thnks mtaalam
 
N
hayo ambayo sio ya ict ndo nayataka zaidi mkuu
 
Asante kwa muongozo chief
Ila nilichokiona kwenye oral za kufundisha nadhani ujipange utakacho present hiyo siku maswali yatatoka umo
Bila shaka wewe uliwapigia networking ndo maana uliuzwa hayo

Kama utafundisha database basi jiandae katika area hiyo n.k katika mada zinginezo

Hapa ni kuchagua topic unayoweza kutiririka vyema
 
Halafu pamoja na maelezo yote haya ila bado umekosa. Walisema elasticity of demand na siyo price elasticity of demand. May be kama katika maelezo yako ungeelezea types. Ukizungumzia types kama vile income elasticity, cross elasticity sidhani kama zote zinafall katika hayo maelezo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…