Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa hiyo unataka wastandardize marks kwa kanda iliyopata wote below 50 ili wapate above 50?.

Hiyo pepa si ilikuwa moja kama NECTA? kama ni hivi hamna uhalali wa kuibeba kanda iliyochezea Sugunyo
 
Hauoni kama hii italeta bias fulani kwa baadhi ya mikoa kukosa wawakilishi?
Kanuni za PSRS hazijasema hivyo kama unavyotaka iwe.

Yaani watu wapate 38(high mark)(matathalani), halafu utake iwena mwakilishi kwenye Oral. Haiwezekani kabisa, labda wasahihishaji wacheze rough kabla hizo marks hazijafika kwa Chief Examiner
 
Hivi unajua tunapokusanywa pale CIVE, Udom si huwa tunatoka sehemu(kanda) mbalimbali? Halafu unaweza kukuta wanaoingia Oral waaweza kutoka ama Mwanza pekee(ingawa huwa hili halitambuliki), je kama ingekuwa inatambulika, wengine ambao wanatoka Mbeya wangedai haki ya kwenda Oral ilihali marks hazijafika?
 
Hii week naona hakuna placement Hadi saa hiii...
Wale waliofanya Usaili Leo wa UDOM(Tutorial Assistant) Mikando imeendaje huko..?
 
Asante kwa maelezo mazuri sana kaka.
 
COMPONENTS OF FINANCIAL STATEMENTS
1. Statement of Profit or loss
2. Statement of Changes in Equity
3. Statement of financial position
4. Cash flow statement
5. Notes

ELEMENTS OF FINANCIAL STATEMENTS
1. Assets
2. Expense
3.Liabilities
4. Revenue
5.Equity
 
Components = Elements


Utofauti uko hapa; of & in

Above; Components/ elements of financial statements.

Below; Components/elements in(or found in) the financial statements.
 
Leo umebadili gia angani
Umeelewa utofauti hapo lakini?

Hakuna tofauti kati ya elements na components kimaana.

Utafauti upo hayo/hilo nenolinatumika katika eneo lipi.

Ukielewa hapo tofauti ya of na in utajua nini nimemaanisha, imenilazimu kurudi katika kiingereza sasa kuwaelemisha kupitia (structure).

If the framework can not override any provision(s) of a specific standard, you can understand what I mean if you carefully go through IAS 1.
 
Mkuu,hivi matokeo yakitoka na hawa unaowapinga humu wakiwa wamefaulu with flying colours, utaficha wapi sura yako ?maana unapinga vitu vilivyo wazi kabisa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…