Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kwa hiyo unataka wastandardize marks kwa kanda iliyopata wote below 50 ili wapate above 50?.Sorry, hapa watachukua ratio ya kikanda au watachukua waliofaulu tu hata kama ni Kanda moja. Let assume kama Kanda moja au tatu hakuna aliyepata 50, na waliopata 50 and above ni Kanda moja let say dar tu, je wataziacha Kanda nyingine au watajaribu kibalance Kila Kanda itoe mtu?
Hiyo pepa si ilikuwa moja kama NECTA? kama ni hivi hamna uhalali wa kuibeba kanda iliyochezea Sugunyo