Asante kwa ku-share tena, nafikiri haya yaliletwa humu punde tu baada ya wahusikia kutoka katika paper. Umemrahisishia zaidi na kumsaidia huyu aliyeomba tena haya maswali.Trade officer ii
1. Liquor law license restrictions
2.Advantages of Selling on Credit
3.Factor to consider before price of produce
4. Short Notes
Production
Utility
Trade
Opportunity cost
Kuna seheme katika uzi huu nimeapa kuwa hawa watashindwa kupita kwenda katika hatua inayofuata kwa kutofautiana huku?, achilia mbali hayo maneno yako ya "flying colourz"?Mkuu,hivi matokeo yakitoka na hawa unaowapinga humu wakiwa wamefaulu with flying colours, utaficha wapi sura yako ?maana unapinga vitu vilivyo wazi kabisa aisee
Flying colours with 100% wakiwa wamepata na hilo swali unalolibishia.Kuna seheme katika uzi huu nimeapa kuwa hawa watashindwa kupita kwenda katika hatua inayofuata kwa kutofautiana huku?, achilia mbali hayo maneno yako ya "flying colourz"?
Narudia tena, mtihani wao ulikua na maswali manne, hapa linajadiliwa swali moja tu, niambiw kwako flying colours ita-range katika marks zipi?
Bro! Humu mitandaoni kuna watu wengi hawapendi kusema ukweli ama kuishi ukweli, mosi.utaficha wapi sura yako ?maana unapinga vitu vilivyo wazi kabisa aisee
Ubaya/ uzuri hurudi matokeo ya marks za ujumla tu, hakuna analysis ya asilimia ngapi wamepata swali la kwanza au la, vinginevyo uniambie majority kama sio wote wapate 95+%Flying colours with 100% wakiwa wamepata na hilo swali unalolibishia.
Mkuu,wewe ni politician mzuri,sijui ilikuaje ukadondokea kwenye uhasibu.Ubaya/ uzuri hurudi matokeo ya marks za ujumla tu, hakuna analysis ya asilimia ngapi wamepata swali la kwanza au la, vinginevyo uniambie majority kama sio wote wapate 95+%
Pole sana kwa kuwa na mtazamo huo, wote tu mashuhuda humu matokeo yanavyopandishwa na utumishi, chukulia mfano hawa wanaopata 50's-60's ambao ndio majority katika hizi course za social science, kuna mtu anaweza akasimama ku-advocate kuwa swali fulani, nilipata lote, swali fulani nilikosa lote?Mkuu,wewe ni politician mzuri,sijui ilikuaje ukadondokea kwenye uhasibu.
Yani unaona kitu kabisa ni Black but unalazimisha kiwe white.
Nimekuvulia kofia kwa hilo.naomba tuishie hapa.
Mkuu nazizlewa sana hoja zako,,,,,ila si lazima watu wote watakuelewa humuPole sana kwa kuwa na mtazamo huo, wote tu mashuhuda humu matokeo yanavyopandishwa na utumishi, chukulia mfano hawa wanaopata 50's-60's ambao ndio majority katika hizi course za social science, kuna mtu anaweza akasimama ku-advocate kuwa swali fulani, nilipata lote, swali fulani nilikosa lote?
Nimeishia hapo.
Elements na components ni vitu viwili tofauti, hata kwenye English havijawahi kuwa na maana moja!!Components = Elements
Utofauti uko hapa; of & in
Above; Components/ elements of financial statements.
Below; Components/elements in(or found in) the financial statements.
Ungeelewa chimbuko la hizi arguments nafikiri ungeelewa tumetoka wapi na tunaelekea wapi.Elements na components ni vitu viwili tofauti, hata kwenye English havijawahi kuwa na maana moja!!
Acha siasa
Lete utaalam hapa tuujadili, usiwe mbinafsi.Acha siasa
Mheshimiwa, wewe mrija wa asali umeupata MUCE au ni MUHAS?Ndio, mfano interview ya MUCE nadhani panel ilikuwa na watu wa MUCE na afisa utumishi mmoja tu
IAEMheshimiwa, wewe mrija wa asali umeupata MUCE au ni MUHAS?
Nimeona niwarahisishie kazi ili muendelee kuchuana vizuriElements na components ni vitu viwili tofauti, hata kwenye English havijawahi kuwa na maana moja!!
Acha siasa
Hakuna tofauti sasa!Nimeona niwarahisishie kazi ili muendelee kuchuana vizuri
Kiswahili ni lugha iliyo na vocabulary ndogo ama chacheNimeona niwarahisishie kazi ili muendelee kuchuana vizuri
Tuwe watulivu tu kuna PDF itakuja kuamua hili jambo, huwa inabeba watu 5k na zaidi ikiwa imewatenganisha katika makundi mawili kwa maneno ''selected'' na ''not selected''Kiswahili ni lugha iliyo na vocabulary ndogo ama chache
Try again
Leta ifrs ama ias🤗
tupeni shuhuda za statusTuwe watulivu tu kuna PDF itakuja kuamua hili jambo, huwa inabeba watu 5k na zaidi ikiwa imewatenganisha katika makundi mawili kwa maneno ''selected'' na ''not selected''
Sasa hivi tutiane moyo tukisubiri placement, oral na shuhuda za status 😀 😀
kazi hazitolewi kimikoa.Hauoni kama hii italeta bias fulani kwa baadhi ya mikoa kukosa wawakilishi?