Ile website itakua inaongoza Afrika Mashariki na Kati kwa kupata trafiki kubwaMtu anaamkia kwenye website ya PSRS na anaishi huko yani[emoji23], placement zinakuja hayumo, afya ya akili hapo lazima ikae mahala pake[emoji23]
hahahahahahahahaI
Ile website itakua inaongoza Afrika Mashariki na Kati kwa kupata trafiki kubwa
hahaha aisee kbsa hii web ina balaaI
Ile website itakua inaongoza Afrika Mashariki na Kati kwa kupata trafiki kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anaamkia kwenye website ya PSRS na anaishi huko yani[emoji23], placement zinakuja hayumo, afya ya akili hapo lazima ikae mahala pake[emoji23]
Hili sijui ngoja wengine waje wasemeHabari za jioni waheshimiwa wasaka mirija ya asali wenzangu.
Kwa mfano, mtu umepata mrija wa asali taasisi A (mfano Tutor - VETA),
Umeripoti zako kazini baada ya mwezi tu ukaona vacancy zingine imetangazwa utumishi ya taasisi B (mfano Tutorial Assistant OPEN UNIVERSITY),
Ikiwa vigezo vya kuomba ile ya vacancy ya OPEN UNIVERSITY unavyo na unajua kuwa kwa kiwango na maslahi ni zaidi ya VETA,
Inaruhusiwa kuomba kuomba ikiwa una mwezi mmoja tu tangu uajiriwe?
Na je mwajiri anaweza kuwa willing kuipitisha barua ya maombi ya kazi kwenda PSPR?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mimi napataga taarifa either hapa au kwenye group letu la chuo[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa naichungulia sana, kwa siku mara zaidi ya 10.
Sasa nipo kwenye deceleration.
Mkuu ridhika na ulipo, hayo mambo yakutaka kuchomoka ukiwa mpya ni magumu mno na chances za kufanikiwa ni ndogo mno unaweza poteza mda tu.Habari za jioni waheshimiwa wasaka mirija ya asali wenzangu.
Kwa mfano, mtu umepata mrija wa asali taasisi A (mfano Tutor - VETA),
Umeripoti zako kazini baada ya mwezi tu ukaona vacancy zingine imetangazwa utumishi ya taasisi B (mfano Tutorial Assistant OPEN UNIVERSITY),
Ikiwa vigezo vya kuomba ile ya vacancy ya OPEN UNIVERSITY unavyo na unajua kuwa kwa kiwango na maslahi ni zaidi ya VETA,
Inaruhusiwa kuomba ikiwa una mwezi mmoja tu tangu uajiriwe?
Na je mwajiri anaweza kuwa willing kuipitisha barua ya maombi ya kazi kwenda PSRS?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mimi napataga taarifa either hapa au kwenye group letu la chuo[emoji3]
Na inaonesha hajabadilika ChochoteWakuu hapo matumaini ya kukanda yapo au ndo nimekandwa?View attachment 2488186
Unasemaje kuwa kafaulu.. wakati hyo status ipo Toka watu wamefaulu writtenKwa kifupi umefaulu Oral Interview lakini hujui kwa kiwango gani na wenzio wamefaulu kwa kiwango gani ? Database tayari upo ila kuhusu placement siyo guaranteed.
Mkuu status yako Iko na Changes zozote..?Ikoje uko mkuu
Status hazina umuhimu,PDF ndio kila kituUnasemaje kuwa kafaulu.. wakati hyo status ipo Toka watu wamefaulu written
Sasa hayo mapdf mbona hayatoki watu wafurahi😁Status hazina umuhimu,PDF ndio kila kitu
Hapa mbo
Na inaonesha hajabadilika Chochote
Unasemaje kuwa kafaulu.. wakati hyo status ipo Toka watu wamefaulu written
Mkuu status yako Iko na Changes zozote..?
Ukiwa na ishu ya kufanya unakuwa huna muda wa kusubiri kwa hamu sana.Ila kama Huna kazi nyingine inaleta presha sana asee.Kabisa, ushauri mzuri sana. Mimi nlikuwa kila saa nawaza placement, nasema placement zitoke ili nijue mwelekeo wa maisha yangu, nashindwa ata kutekeleza mipango mingine nkiwaza nikipata kazi je, ila unakuta placement zinatoka simo, hapo ndo shida, ila sasa hivi, ni kama hamna ninachokisubiria, nawashauri hivi vitu sio vya kuwaza kabisa, sasa hivi nafanya kazi like utumishi sijawah ata fanya interview, siku placement zimetoka kama nipo itakuwa double double, kama sipo bado nakuwa na kitu cha kuniweka mjini. Hivyo yani
Yatatoka tu, tuendelee kuvuta subira.Ujue kila kitu huwa kinaisha siku Ile Ile ya Usaili,maamuzi ya nani awe amepata kazi hatua za mwanzo kabisa.Sasa hayo mapdf mbona hayatoki watu wafurahi😁
Mimi group la chuo lipo kimya kuhusu PSRS utadhani hawalijui ilihali tushakandwa sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mimi napataga taarifa either hapa au kwenye group letu la chuo[emoji3]
Mimi group la chuo lipo kimya kuhusu PSRS utadhani hawalijui ilihali tushakandwa sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]