Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari za jioni waheshimiwa wasaka mirija ya asali wenzangu.

Kwa mfano, mtu umepata mrija wa asali taasisi A (mfano Tutor - VETA),
Umeripoti zako kazini baada ya mwezi tu ukaona vacancy zingine imetangazwa utumishi ya taasisi B (mfano Tutorial Assistant OPEN UNIVERSITY),

Ikiwa vigezo vya kuomba ile ya vacancy ya OPEN UNIVERSITY unavyo na unajua kuwa kwa kiwango na maslahi ni zaidi ya VETA,
Inaruhusiwa kuomba ikiwa una mwezi mmoja tu tangu uajiriwe?

Na je mwajiri anaweza kuwa willing kuipitisha barua ya maombi ya kazi kwenda PSRS?
 
Mtu anaamkia kwenye website ya PSRS na anaishi huko yani[emoji23], placement zinakuja hayumo, afya ya akili hapo lazima ikae mahala pake[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nilikuwa naichungulia sana, kwa siku mara zaidi ya 10.

Sasa nipo kwenye deceleration.
 
Habari za jioni waheshimiwa wasaka mirija ya asali wenzangu.

Kwa mfano, mtu umepata mrija wa asali taasisi A (mfano Tutor - VETA),
Umeripoti zako kazini baada ya mwezi tu ukaona vacancy zingine imetangazwa utumishi ya taasisi B (mfano Tutorial Assistant OPEN UNIVERSITY),

Ikiwa vigezo vya kuomba ile ya vacancy ya OPEN UNIVERSITY unavyo na unajua kuwa kwa kiwango na maslahi ni zaidi ya VETA,
Inaruhusiwa kuomba kuomba ikiwa una mwezi mmoja tu tangu uajiriwe?

Na je mwajiri anaweza kuwa willing kuipitisha barua ya maombi ya kazi kwenda PSPR?
Hili sijui ngoja wengine waje waseme
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nilikuwa naichungulia sana, kwa siku mara zaidi ya 10.

Sasa nipo kwenye deceleration.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mimi napataga taarifa either hapa au kwenye group letu la chuo[emoji3]
 
Habari za jioni waheshimiwa wasaka mirija ya asali wenzangu.

Kwa mfano, mtu umepata mrija wa asali taasisi A (mfano Tutor - VETA),
Umeripoti zako kazini baada ya mwezi tu ukaona vacancy zingine imetangazwa utumishi ya taasisi B (mfano Tutorial Assistant OPEN UNIVERSITY),

Ikiwa vigezo vya kuomba ile ya vacancy ya OPEN UNIVERSITY unavyo na unajua kuwa kwa kiwango na maslahi ni zaidi ya VETA,
Inaruhusiwa kuomba ikiwa una mwezi mmoja tu tangu uajiriwe?

Na je mwajiri anaweza kuwa willing kuipitisha barua ya maombi ya kazi kwenda PSRS?
Mkuu ridhika na ulipo, hayo mambo yakutaka kuchomoka ukiwa mpya ni magumu mno na chances za kufanikiwa ni ndogo mno unaweza poteza mda tu.
 
Kabisa, ushauri mzuri sana. Mimi nlikuwa kila saa nawaza placement, nasema placement zitoke ili nijue mwelekeo wa maisha yangu, nashindwa ata kutekeleza mipango mingine nkiwaza nikipata kazi je, ila unakuta placement zinatoka simo, hapo ndo shida, ila sasa hivi, ni kama hamna ninachokisubiria, nawashauri hivi vitu sio vya kuwaza kabisa, sasa hivi nafanya kazi like utumishi sijawah ata fanya interview, siku placement zimetoka kama nipo itakuwa double double, kama sipo bado nakuwa na kitu cha kuniweka mjini. Hivyo yani
Ukiwa na ishu ya kufanya unakuwa huna muda wa kusubiri kwa hamu sana.Ila kama Huna kazi nyingine inaleta presha sana asee.
 
Mimi group la chuo lipo kimya kuhusu PSRS utadhani hawalijui ilihali tushakandwa sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Group la chuo ni kwa wale Graduates wa hivi karibuni mwaka 1 had 2 hivi.

Sasa mtu una miaka zaidi ya 5 uraiani kuulizia updates kweny grp mtu unajistukia. Isitoshe wengi wao tayari wamesha move on kwnye mambo mengine.

Ndio maana ya kuwa na simu janja, taarifa zote unaangalia mwenyew hata ukiwa kwenye daladala hata bodaboda.

Binafsi huwa nashangaa mtu anauliza humu et vipi Placement hazijatoka huko, wkt anauwezo wakuangalia mwnyw na kujua mbivu na mbichi.
 
Back
Top Bottom