Nimetoa mfano tu uwenda kwny Uhalisia wa fields hizo 2 zikawa sio related. Lkn Accounting Field kuna Kaz anaweza kuomba nje ya hyo Field yake ndy nilichokuwa nimelenga kuwakilisha sema mfano au kwendana na UhalisiaHii hai-apply kwa kupitia psrs, kwa mfano, nafasi nyingi za kazi za uhasibu zina beba watu waliosoma uhasibu, banking and finance, Bcom(Accounting & Financa) Baf.
Sasa ukija kazi zinazohusu finance hizo chache nilizoorozesha hapo juu zinaingia lakini Accounting inakataa.
Kiserikali haiwezekani kuingia kupitia utumishi katika post ya sociology ikiwa umesoma coz za acc/finance.
Umeeleweka Acha tusubirie Placement uwenda Mwaka huu ukawa Mzuri Kwa watao kuwa karibu na ridhiki zaoYeah inawezekana kutokea ila tu kama uliforce system. Lakini kama kozi ni relevant na walitaja other relevant degree na ukaitwa na ukafanya usaili jua mna equal chance ya kuchaguliwa nyote.
Mfano. Hizi post za juzi za Mchumi Daraja la pili Kuna degree za Economics and Agricultural Economics.
Ukiangalia exactly unaweza sema watakao pewa priority ya kazi ni WA Economics pure, but the fact ni kuwa yeyote atakaye pita oral kati ya aliyesoma Economics and Agricultural Economics wote wanakuwa na equal chance ya kupata kazi.
Rejea pia, TMO walikuwa wanahitaji waliosoma Accountancy, Taxation and Economics. Kwahiyo yeyote atakaye pita kwenda oral anaweza kupata kazi na Kuna kifano hai ya walio soma Economics kupata kazi ya TMO afu wa Taxation kukosa.
Mwisho kabisa, Mungu anambariki yule anayemtumainia na kuamini katika yeye, bahati na fursa pia ufanya kazi yake.
Kumbuka; Mungu akupi kile unachokitaka ila anakupa kile unachostahili. Tunamipango yetu lakini Mungu anamipango bora zaidi kwetu
Engineers zamu yenu. Kila la heri.Wenye sifa
Itakuwa ni kwa sababu ya hizo mistakes.Tena walipost call for interview kama 3 hivi
sidhani kama hao wana usaili wa vitendoItakuwa ni kwa sababu ya hizo mistakes.View attachment 2490216
Labda ndio maana limeondolewasidhani kama hao wana usaili wa vitendo
Mistakes katika tarehe,. Check vizuri alipozungusha katika tarehe usaili mchujo na usaili mahojiano.sidhani kama hao wana usaili wa vitendo
Ndio mkuuKumbe ulifanya Tari mkuu!
TARI OYEE!!!Ndio mkuu
Uliomba huko pia?TARI OYEE!!!
Yeah niliomba mkuuUliomba huko pia?
Huu mkeka bila shaka utakuwa mzito, maana nyomi za post zilikuwa nyingiUliomba huko pia?
Nafasi gani uliomba? Vipi status yako hivisasa ipoje?Huu mkeka bila shaka utakuwa mzito, maana nyomi za post zilikuwa nyingi
Nyie ndo mlifanya tarehe 8 au 7 December..?Nafasi gani uliomba? Vipi status yako hivisasa ipoje?
Yeah kakaNyie ndo mlifanya tarehe 8 au 7 December..?
Mbona mnatutisha jamani.mnashangilia alafu hatuoni pdf jmniTARI OYEE!!!
Kwahyo hutaki Kusema status yako ilivyo..😂😂Hata mimi ni vivyo hivyo, tuendelee kuomba Mungu Pdf ikitoka tuwemo mzee maana hizi status kuna wadau humu wanasema sio guarantee sana[emoji3][emoji3]
Wanajipa moyo kimtindo sio Mbaya,, inasaidia kupnguza stress😂😂Mbona mnatutisha jamani.mnashangilia alafu hatuoni pdf jmni
Ameen kabisa kk mm siangaliagi status sana kwasababu nimejitahid kufatilia nikaona zinachanganya sana mpk naachana nazo kbs,,,,nasubiri pdf tu, Mungu atusaidie tuwemo tukawatumie wananchi, Research assistantsHata mimi ni vivyo hivyo, tuendelee kuomba Mungu Pdf ikitoka tuwemo mzee maana hizi status kuna wadau humu wanasema sio guarantee sana[emoji3][emoji3]