Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila huyu jamaa aliyeanzisha jf Mungu ampe maisha mengi sana katuweka pamoja watu wengi tusiojuana ila tunakutanishwa na hoja mbali mbali haloo wengine ni majirani zetu,wengine walimu wetu ,wengine maadui zetu mtaani ila jf washikaji bila kujuana

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mungu ambariki, binafsi nmejifunza mambo mengi san, hili jukwaa ni fursa aisee na kibiashara changu kinaenda humu humu. Namuombea sana aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe sasa unampoteza mwenzio, unamkuwadia kwa bibi kizee wa 40yrs
Kwani umri si namba tu, [emoji3][emoji3][emoji3]Ahmet njoo, ameridhia kabisa yeye pia i hope 40 hujafika madam, you are still young,,,,, deedpoll tutazipataje sasa bila uwepo wako[emoji3]
 
Kwani umri si namba tu, [emoji3][emoji3][emoji3]Ahmet njoo, ameridhia kabisa yeye pia i hope 40 hujafika madam, you are still young,,,,, deedpoll tutazipataje sasa bila uwepo wako[emoji3]
Mnachekesha nyie, labda aje kuniungisha saa ya kuvibribe vitoto vya chuo, na unyunyu kidogo eeh[emoji24]. Na deedpoll at this age even at 80 ntafanya fresh tu[emoji23]
 
Back
Top Bottom