Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kuna annoucement
Screenshot_20230121-212409~2.jpg
 
Mnachekesha nyie, labda aje kuniungisha saa ya kuvibribe vitoto vya chuo, na unyunyu kidogo eeh[emoji24]. Na deedpoll at this age even at 80 ntafanya fresh tu[emoji23]
Yaani madam wewe tulia relax kabisaa, najua soon nawewe itaingia tu kwenye mfumo ns yeye yupo humo mnajenga good family, au hutaki watoto wapande gari la njano ???
 
Back
Top Bottom