Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Prok ni mtu mmoja ningependa kuona nae, inaonyesha una moyo sana, mtulivu na mwenye subira.
Natamani hadi kutangaza Nia[emoji56]
Au nitangaze
Yaani madam wewe tulia relax kabisaa, najua soon nawewe itaingia tu kwenye mfumo ns yeye yupo humo mnajenga good family, au hutaki watoto wapande gari la njano ???Mnachekesha nyie, labda aje kuniungisha saa ya kuvibribe vitoto vya chuo, na unyunyu kidogo eeh[emoji24]. Na deedpoll at this age even at 80 ntafanya fresh tu[emoji23]
Naona hawapoi kikanda, safiKumekucha
Umeitwa post hipi?,nipo kwenye field ya an naweza kupa abcDuuh, Aiseee huu mwaka ni wangu, nimeitwa tena Udsm, najiuliza hapa hizi mambo za lab, interview zake sijui zipoje.
Field ya LabUmeitwa post hipi?,nipo kwenye field ya an naweza kupa abc
Ziko ki mono sex good luck mkuuDuuh, Aiseee huu mwaka ni wangu, nimeitwa tena Udsm, najiuliza hapa hizi mambo za lab, interview zake sijui zipoje.
Mimi mwenyewe hapa nafuatilia atakayepata Lab. Scientist asa Aquatic tupeane tips...Ohy.. hzi saili za laboratory technician and scientist zinakuwaje wadau. ?
Si wewe MaryjuanProk ndo nani?
Wewe si umemaliza chuo 2019 kama mimi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe sasa unampoteza mwenzio, unamkuwadia kwa bibi kizee wa 40yrs
Wewe mdogo tuMnachekesha nyie, labda aje kuniungisha saa ya kuvibribe vitoto vya chuo, na unyunyu kidogo eeh[emoji24]. Na deedpoll at this age even at 80 ntafanya fresh tu[emoji23]
Mkuu ahmet hilo limeisha, kajitambulishe sasa[emoji3][emoji3][emoji3]Wewe mdogo tu
Sorry,huyo Prok alipotelea wapi?hata Mwifwa alipotoboa sikumsoma japo initially alikuwa very interactiveMtakuwa mshalewa nyie na vile leo ni weekend[emoji23], Prok aje tu
Mnaanza ln mpk ln mkuu,PDF za Mikando zimetaradadi... Wale tutakaokuwa Kwame Nkrumah Hall tukutane hapa
Kila la heri mkuuPDF za Mikando zimetaradadi... Wale tutakaokuwa Kwame Nkrumah Hall tukutane hapa
Kila lakheri...Nenda kwenye mkando Huku unasubiri na palcements yako Ile ya DecemberPDF za Mikando zimetaradadi... Wale tutakaokuwa Kwame Nkrumah Hall tukutane hapa