Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huyo ni mzembe,hiyo nafasi ishapewa mtu mwingine. Halafu nijuavyo kwa watu wa database kabla ya yote utumishi huwa wanakupigia simu kukujulisha kuwa umepangiwa nafasi kutoka database na pia hilo la barua kutumwa sina uhakika nalo coz barua huwa unafuata mwenyewe Dodoma.

Uzembe promax
 
Safari hii nataka nikafanye paper za Utumishi, wadau kada ya Finance management officer II mnaweza nipa mwanga ni aina gani ya maswali?
 
Back
Top Bottom