Hunter621
Senior Member
- Jul 20, 2016
- 161
- 458
Na huu ndio uungwana👍Niko poa mkuu,ndio ukomavu huo..inabidi tuvumiliane..nilipitia mahali nikaona ulikua sahihi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huu ndio uungwana👍Niko poa mkuu,ndio ukomavu huo..inabidi tuvumiliane..nilipitia mahali nikaona ulikua sahihi kabisa.
Hao sio wengi Kama lile zigo la MDA & LGA.. Ile ilikuwa hatari Dodoma ingefurika mno.Kwann hizi nazo hawajaziweka kikanda kama MDAs @ LGA..
Wote kwenda Dodoma nikuchoma nauli
Asante sana mkuu,, Ni mapambano tu Hadi kielewekeMungu akutangulie🙏🏿
Hapo soma Financial management B1 inaweza ikawa msaada kwako!Safari hii nataka nikafanye paper za Utumishi, wadau kada ya Finance management officer II mnaweza nipa mwanga ni aina gani ya maswali?
Noma sana, hapo atakumbana na dilemma hatari.Hao sio wengi Kama lile zigo la MDA & LGA.. Ile ilikuwa hatari Dodoma ingefurika mno.
Ila Kuna kitu nimekiona, kutokana na taasisi nyingi kuita usaili mwishoni mwa January So unakuta mtu katokea taasisi tatu na ni sehemu tofautitofauti na mida kama inafanana kimtindo.
Kuna Mashikaji wangu hapa kaitwa;
• Dodoma; Usaili mchujo ni tar 29
January, mda wa pepa ni saa 7
mchana[emoji23] hapa Oral ni kuanzia tarh 2 - 5 ferbuary
• UDSM; Usaili wa mchujo ni tar
28 January saa 1 asubuhi then
Oral ni tar 30 kama atafanikiwa
kufika Oral
• Hapohapo ana Usaili mwingine
wa Oral mojaKwaMoja tar 30
January.(Yaan ni post nyingine inajitegemea, Oral pekee)
Halafu Yuko huko Kanda ya Ziwa sijui atajigawa vipi hapa [emoji23][emoji23]
Hizi za kurundika pamoja ni mtihani kweli kweli, mara nyingi unakosa chaguo, apime kwenye unafuu kwake(kwa maana kule kwenye module/course anayoielewa vizuri zaidi), akomae napo, sio anapopapenda (kwa maana ya taasisi iliyotangaza ajira)Hao sio wengi Kama lile zigo la MDA & LGA.. Ile ilikuwa hatari Dodoma ingefurika mno.
Ila Kuna kitu nimekiona, kutokana na taasisi nyingi kuita usaili mwishoni mwa January So unakuta mtu katokea taasisi tatu na ni sehemu tofautitofauti na mida kama inafanana kimtindo.
Kuna Mashikaji wangu hapa kaitwa;
• Dodoma; Usaili mchujo ni tar 29
January, mda wa pepa ni saa 7
mchana😂 hapa Oral ni kuanzia tarh 2 - 5 ferbuary
• UDSM; Usaili wa mchujo ni tar
28 January saa 1 asubuhi then
Oral ni tar 30 kama atafanikiwa
kufika Oral
• Hapohapo ana Usaili mwingine
wa Oral mojaKwaMoja tar 30
January.(Yaan ni post nyingine inajitegemea, Oral pekee)
Halafu Yuko huko Kanda ya Ziwa sijui atajigawa vipi hapa 😂😂
not shortlistedWadau msasda
Status bado received na majina ya written sipo, kwa wazoefu nini shida hapo?
Itakuwa walikisea ,hizo huwa zina tangazwaga kwenye ofisi zao humohumo ndaniHizi post za Wizara ya Mambo ya nje mbona wamezifuta au kwangu tu
Maana nliziona night kali zimewekwa asubuhi sioni kitu
Wasiliana nao utumishi mapema, ila wakuongeze kwenye majina ya nyongeza watakayoyatoa .. huwa wanatoa majina ya nyongeza nje ya hayo waliyoyatoa awali..Wadau msasda
Status bado received na majina ya written sipo, kwa wazoefu nini shida hapo?
Mbona wameshawekaItakuwa walikisea ,hizo huwa zina tangazwaga kwenye ofisi zao humohumo ndani
Inabidi afanye hivi akishajua sababu ya kutokuwa shortlist.Wasiliana nao utumishi mapema, ila wakuongeze kwenye majina ya nyongeza watakayoyatoa .. huwa wanatoa majina ya nyongeza nje ya hayo waliyoyatoa awali..
Mwenyewe hvyohvyo mkuu Ila hebu nicheck saa hiiWadau msasda
Status bado received na majina ya written sipo, kwa wazoefu nini shida hapo?
Sema mpaka Sasa hawajaweka namba za mitihani ndo maana jamaa anashindwa kielewa sababu ya kutoitwa.. hebu tusubiri kesho siku ya kaziInabidi afanye hivi akishajua sababu ya kutokuwa shortlist.
Sasa atuambie kama kawekewa sababu au la
Asante kaka mkubwaHongera sana mkuu, ukawe mtumishii mwema.
😀😂🤣Hahahahaaa.
Wapambe tupo tumejaa hapa, pulizi kipenga uone kazi itakavyoisha ndani ya sekunde
Kesho naenda bank na "Shangazi kaja" kuchukua mahela yangu🤣🤣🤣
😀😀😀Kesho naenda bank na "Shangazi kaja" kuchukua mahela yangu🤣🤣🤣
Jobless unacheka 🤣🤣🤣🤣