Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Yeah kikubwa imani, kujituma na kuwa na subraSafi ndugu yangu. Naimani tutaendelea kuingia mtijani mmoja mmoja humu tll the end
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah kikubwa imani, kujituma na kuwa na subraSafi ndugu yangu. Naimani tutaendelea kuingia mtijani mmoja mmoja humu tll the end
Kabisa mkuu,Yeah kikubwa imani, kujituma na kuwa na subra
Oyaah hii issue ya kuwa verified Iko na process zpKabisa kaka sisi tupo humu sana, mpaka nimekuwa verified 🤣
Mkuu Tangaza nia bhn[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaomb then wakakuambia utume document Moja inayokutambulishaOyaah hii issue ya kuwa verified Iko na process zp
SureIla huyu jamaa aliyeanzisha jf Mungu ampe maisha mengi sana katuweka pamoja watu wengi tusiojuana ila tunakutanishwa na hoja mbali mbali haloo wengine ni majirani zetu,wengine walimu wetu ,wengine maadui zetu mtaani ila jf washikaji bila kujuana
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Prok ndo nani?Prok ni mtu mmoja ningependa kuona nae, inaonyesha una moyo sana, mtulivu na mwenye subira.
Natamani hadi kutangaza Nia[emoji56]
Au nitangaze
Mtakuwa mshalewa nyie na vile leo ni weekend[emoji23], Prok aje tuKila jambo la kheri huenda kwa kheri kila la kheri kaka. Sio jambo baya pia ni baraka tu, Mm binafsi nimewabless vijana jengeni mji. Prok nisamehe kama nakosea[emoji3][emoji3][emoji3]
Mungu ambariki, binafsi nmejifunza mambo mengi san, hili jukwaa ni fursa aisee na kibiashara changu kinaenda humu humu. Namuombea sana aiseeIla huyu jamaa aliyeanzisha jf Mungu ampe maisha mengi sana katuweka pamoja watu wengi tusiojuana ila tunakutanishwa na hoja mbali mbali haloo wengine ni majirani zetu,wengine walimu wetu ,wengine maadui zetu mtaani ila jf washikaji bila kujuana
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mchakatoo....kwanin wanachelewa kutoa placements..
Ahmet njoo uku tumejibiwa [emoji3][emoji3][emoji3]Mtakuwa mshalewa nyie na vile leo ni weekend[emoji23], Prok aje tu
Si wewe au mm ndio nachanganya!!!!?Prok ndo nani?
Wewe ndo unachanganya, sio mimi kakaSi wewe au mm ndio nachanganya!!!!?
Daaah!!! Nchi ngumu hii, Madam unanikataa kweupe hivi..[emoji3][emoji3][emoji848]Wewe ndo unachanganya, sio mimi kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe sasa unampoteza mwenzio, unamkuwadia kwa bibi kizee wa 40yrsDaaah!!! Nchi ngumu hii, Madam unanikataa kweupe hivi..[emoji3][emoji3][emoji848]
Kwani umri si namba tu, [emoji3][emoji3][emoji3]Ahmet njoo, ameridhia kabisa yeye pia i hope 40 hujafika madam, you are still young,,,,, deedpoll tutazipataje sasa bila uwepo wako[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe sasa unampoteza mwenzio, unamkuwadia kwa bibi kizee wa 40yrs
Mnachekesha nyie, labda aje kuniungisha saa ya kuvibribe vitoto vya chuo, na unyunyu kidogo eeh[emoji24]. Na deedpoll at this age even at 80 ntafanya fresh tu[emoji23]Kwani umri si namba tu, [emoji3][emoji3][emoji3]Ahmet njoo, ameridhia kabisa yeye pia i hope 40 hujafika madam, you are still young,,,,, deedpoll tutazipataje sasa bila uwepo wako[emoji3]