Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii hai-apply kwa kupitia psrs, kwa mfano, nafasi nyingi za kazi za uhasibu zina beba watu waliosoma uhasibu, banking and finance, Bcom(Accounting & Financa) Baf.

Sasa ukija kazi zinazohusu finance hizo chache nilizoorozesha hapo juu zinaingia lakini Accounting inakataa.

Kiserikali haiwezekani kuingia kupitia utumishi katika post ya sociology ikiwa umesoma coz za acc/finance.
Nimetoa mfano tu uwenda kwny Uhalisia wa fields hizo 2 zikawa sio related. Lkn Accounting Field kuna Kaz anaweza kuomba nje ya hyo Field yake ndy nilichokuwa nimelenga kuwakilisha sema mfano au kwendana na Uhalisia
 
Yeah inawezekana kutokea ila tu kama uliforce system. Lakini kama kozi ni relevant na walitaja other relevant degree na ukaitwa na ukafanya usaili jua mna equal chance ya kuchaguliwa nyote.

Mfano. Hizi post za juzi za Mchumi Daraja la pili Kuna degree za Economics and Agricultural Economics.

Ukiangalia exactly unaweza sema watakao pewa priority ya kazi ni WA Economics pure, but the fact ni kuwa yeyote atakaye pita oral kati ya aliyesoma Economics and Agricultural Economics wote wanakuwa na equal chance ya kupata kazi.

Rejea pia, TMO walikuwa wanahitaji waliosoma Accountancy, Taxation and Economics. Kwahiyo yeyote atakaye pita kwenda oral anaweza kupata kazi na Kuna kifano hai ya walio soma Economics kupata kazi ya TMO afu wa Taxation kukosa.

Mwisho kabisa, Mungu anambariki yule anayemtumainia na kuamini katika yeye, bahati na fursa pia ufanya kazi yake.

Kumbuka; Mungu akupi kile unachokitaka ila anakupa kile unachostahili. Tunamipango yetu lakini Mungu anamipango bora zaidi kwetu
Umeeleweka Acha tusubirie Placement uwenda Mwaka huu ukawa Mzuri Kwa watao kuwa karibu na ridhiki zao
 
Tena walipost call for interview kama 3 hivi
Itakuwa ni kwa sababu ya hizo mistakes.
Screenshot_20230121-163755_Adobe%20Acrobat.jpg
 
Hata mimi ni vivyo hivyo, tuendelee kuomba Mungu Pdf ikitoka tuwemo mzee maana hizi status kuna wadau humu wanasema sio guarantee sana[emoji3][emoji3]
Ameen kabisa kk mm siangaliagi status sana kwasababu nimejitahid kufatilia nikaona zinachanganya sana mpk naachana nazo kbs,,,,nasubiri pdf tu, Mungu atusaidie tuwemo tukawatumie wananchi, Research assistants
 
Back
Top Bottom