Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hapana mzee, tumekubaliana mapambano mpaka kieleweke.

Ile ngoma yenu inasahihishwa kama mitihani ya Necta, wiki ya pili sasa, jamaa wanasoma neno kwa neno. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]alooo kazi ipo,isijekua debate ya hum ndo imesababisha,mmewavuruga hata wao bado wanatafta jibu sahihi
 
Mkuu natumaini ulipiga vema paper yako, ni matarajio yetu kuwa umewakanda round hii.
Sina hata hopes kwakwel,ndomana nimekaa tu kimya nazoom discussions zenyu.
Wacha nisubrie nafasi zingne tu kama zitatokea[emoji3061] but for this,am not even counting on it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…