Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ushapa namba..?Humu pia ilitumwa
Mbona inafunguka vizuri tu?Naona kuna jambo linasukwa mtandao wa ajira.go.tz haufunguki 😁
Kama sio Sugunyo basi placements zinakuja
UnafungukaNaona kuna jambo linasukwa mtandao wa ajira.go.tz haufunguki [emoji16]
Kama sio Sugunyo basi placements zinakuja
Vipi tunaenda tena au ile ya juzi imekuvunja moyo?Unafunguka
Achana na takukuru unapoteza mudaWakuu kama kuna mtu alishaanza kuapply ajira za Takukuru naomba tusaidiane maana mimi hata link yao tu haifunguki ya kujaza details
Kwanini mkuu?Achana na takukuru unapoteza muda
Uliza kilichotokea mwaka 2021Kwanini mkuu?
Ungenieleza ingekua vyema mkuu.. hawakuita watu?Uliza kilichotokea mwaka 2021
tujuze mkuu ili tuelewe nini kilitokeaUliza kilichotokea mwaka 2021
Twendeni bhana, hakuna kukata tamaa wakuu.Vipi tunaenda tena au ile ya juzi imekuvunja moyo?
Uliwakatisha tamaa vijana mkuuTwendeni bhana, hakuna kukata tamaa wakuu.
Hapana mzee, tumekubaliana mapambano mpaka kieleweke.Uliwakatisha tamaa vijana mkuu
PDF nimeiona mkuu, ila simo na status bado inasoma receivedHilo washatoa bhana.. c ndo hii ya NIRC..?
[emoji23][emoji23][emoji23]alooo kazi ipo,isijekua debate ya hum ndo imesababisha,mmewavuruga hata wao bado wanatafta jibu sahihiHapana mzee, tumekubaliana mapambano mpaka kieleweke.
Ile ngoma yenu inasahihishwa kama mitihani ya Necta, wiki ya pili sasa, jamaa wanasoma neno kwa neno. [emoji23]
Nikicheki ilikuwa badoMkuu ushapa namba..?
🤣🤣🤣🤣😂[emoji23][emoji23][emoji23]alooo kazi ipo,isijekua debate ya hum ndo imesababisha,mmewavuruga hata wao bado wanatafta jibu sahihi
Mkuu natumaini ulipiga vema paper yako, ni matarajio yetu kuwa umewakanda round hii.[emoji23][emoji23][emoji23]alooo kazi ipo,isijekua debate ya hum ndo imesababisha,mmewavuruga hata wao bado wanatafta jibu sahihi
Sina hata hopes kwakwel,ndomana nimekaa tu kimya nazoom discussions zenyu.Mkuu natumaini ulipiga vema paper yako, ni matarajio yetu kuwa umewakanda round hii.