Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba wizy aliamua kula kona ili tusije kumuomba lifti kwenye subaru yake[emoji3][emoji3]Sisi wacha tukahudhurie mikando naimani huu mwaka tutakutana show room boss kununua subaru ya wizzy[emoji3][emoji3][emoji3]
Huenda Asali ya kule umemuweka busy na kasahau hiliKuna yule Tutorial Assistant mpya wa Chuo Cha Kilimo Nyerere Butiama,, alikuwa akizisubiria sana hizi za TPDC licha ya kupata kazi.. Yuko wape yule mbona kimya...!!!
mmmmmmmh,,,,,,,,,.Usaili umesitishwa huko
Asante sana mkuu,, nitacheza na hii namba me nataka sehemu ya kujihifadhi tu Sina mambo mengi Asubuhi napiga Usaili wangu then narudi MkoaLala kibo pale kuna lodge inaitwa jay jay
Vyumba vinaanzia elf 10 kwa single room
Nimewahi lala self inaanzia elf 12 vipo vya bei ya zaidi pia mpaka elf 15 KIBO na UDSM karibu ,asbh unachukua bora inakupeleke udsm moja kwa moja au bajaji mpaka njiapanda ya chuo then unachukua nyingine ya kwenda chuo
Ila ipo ndani kidogo lazima upate maelekezo ya mwenyeji ni kama dk 5 mpak 10 toka kituo cha daladala,usalama upo vizuri maji masaa 24
0624131450 jaribu kucheki na muhusika ukiona hapakufai utatafuta pengine
Halafu chuo chenyewe kishaanza kuwa na magumashi sijui sijui kama hakitosimamishwa kwa mujibu wa hii habariHuenda Asali ya kule umemuweka busy na kasahau hili
Wanalijenga sehemu gani?Hilo jengo la psrs wanalojenga linashawishi sana kukandwa zuri sana nakua nafeli makusudi ili mwezi mwingine nirudi Tena kula AC tu hapo we ngoja walijenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeiona pia hii habari.Halafu chuo chenyewe kishaanza kuwa na magumashi sijui sijui kama hakitosimamishwa kwa mujibu wa hii habari
Ahsante sana, day 1 imeisha hiyo ya kunolewa
Hongera sana perdiem ina ji count mzee😁Nimeiona pia hii habari.
Huyo Prof aliyekaa pale kwa miaka 8 hadi kastaafu katisha sana.
Mkuu si ulisemaga umesoma UDSM? Sasa unashindwaje kujua machimbo jirani na eneo?Wakuu, wale tuliitwa Usaili UDSM hapo NKURUMAH HALL Kuna uwezekano wa kupata guest/lodge bei cheap pia nilale sehemu gani karibu na huo ukumbi..?
Au tupeane uzoefu basi, coz ni mara yangu ya kwanza kufanya hapo Usaili.
Wale wa mjini jamani
nanyanyapaliwa ndugu yanguDaahh, vavulensi hii[emoji3][emoji3]
Km matokeo hayajatoka usije Lata tamaa kuna Miracle uwaga zinatoke na Hzo ndy nyakat sahihi.Sina hata hopes kwakwel,ndomana nimekaa tu kimya nazoom discussions zenyu.
Wacha nisubrie nafasi zingne tu kama zitatokea[emoji3061] but for this,am not even counting on it
Wakuu, wale tuliitwa Usaili UDSM hapo NKURUMAH HALL Kuna uwezekano wa kupata guest/lodge bei cheap pia nilale sehemu gani karibu na huo ukumbi..?
Au tupeane uzoefu basi, coz ni mara yangu ya kwanza kufanya hapo Usaili.
Wale wa mjini jamani
Sema sehem ya kujihifadh tu arafu uchukue Geust sehem ambayo Mech za Kirafik zinachezwa sn 🤣🤣🤣 Saut za Vinanda Ndy zimejaa utazan mazoezi ya Waimba kwayaAsante sana mkuu,, nitacheza na hii namba me nataka sehemu ya kujihifadhi tu Sina mambo mengi Asubuhi napiga Usaili wangu then narudi Mkoa
Labda nilikudanganya.. inatokana na swali lako uliuliza kwa muktadha upiMkuu si ulisemaga umesoma UDSM? Sasa unashindwaje kujua machimbo jirani na eneo?