Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 329
- 1,017
Mkuu unafaham kada gani zitabaki hapo makao makuu?Sisi tulianza kureport kwa Mwajiri tarehe 11, 13, 16 mwezi huu.
Leo ndio tumeanza Induction ambayo inaisha Ijumaa tarehe 27, baada ya hapo ndio tunasambazwa mikoani kuanza kazi, kwa hiyo mpunga kuna uwezekano wa kuusikilizia February mwishoni