Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sisi wacha tukahudhurie mikando naimani huu mwaka tutakutana show room boss kununua subaru ya wizzy[emoji3][emoji3][emoji3]
Mwamba wizy aliamua kula kona ili tusije kumuomba lifti kwenye subaru yake[emoji3][emoji3]
 
Kuna yule Tutorial Assistant mpya wa Chuo Cha Kilimo Nyerere Butiama,, alikuwa akizisubiria sana hizi za TPDC licha ya kupata kazi.. Yuko wape yule mbona kimya...!!!
Huenda Asali ya kule umemuweka busy na kasahau hili
 
Hilo jengo la psrs wanalojenga linashawishi sana kukandwa zuri sana nakua nafeli makusudi ili mwezi mwingine nirudi Tena kula AC tu hapo we ngoja walijenge🤣🤣🤣
 
Asante sana mkuu,, nitacheza na hii namba me nataka sehemu ya kujihifadhi tu Sina mambo mengi Asubuhi napiga Usaili wangu then narudi Mkoa
 
Hilo jengo la psrs wanalojenga linashawishi sana kukandwa zuri sana nakua nafeli makusudi ili mwezi mwingine nirudi Tena kula AC tu hapo we ngoja walijenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanalijenga sehemu gani?
 
Wakuu, wale tuliitwa Usaili UDSM hapo NKURUMAH HALL Kuna uwezekano wa kupata guest/lodge bei cheap pia nilale sehemu gani karibu na huo ukumbi..?
Au tupeane uzoefu basi, coz ni mara yangu ya kwanza kufanya hapo Usaili.
Wale wa mjini jamani
Mkuu si ulisemaga umesoma UDSM? Sasa unashindwaje kujua machimbo jirani na eneo?
 
Sina hata hopes kwakwel,ndomana nimekaa tu kimya nazoom discussions zenyu.
Wacha nisubrie nafasi zingne tu kama zitatokea[emoji3061] but for this,am not even counting on it
Km matokeo hayajatoka usije Lata tamaa kuna Miracle uwaga zinatoke na Hzo ndy nyakat sahihi.


Acha watu wakufikirie vby lkn Usiwahi kujifikiria au kujiwazia Mabaya we mwenyew ili ni kosa sn Mpk Kiimani
 
Wakuu, wale tuliitwa Usaili UDSM hapo NKURUMAH HALL Kuna uwezekano wa kupata guest/lodge bei cheap pia nilale sehemu gani karibu na huo ukumbi..?
Au tupeane uzoefu basi, coz ni mara yangu ya kwanza kufanya hapo Usaili.
Wale wa mjini jamani

Survey , Msewe, maeneo ya ubungo karibu na chuo
 
Asante sana mkuu,, nitacheza na hii namba me nataka sehemu ya kujihifadhi tu Sina mambo mengi Asubuhi napiga Usaili wangu then narudi Mkoa
Sema sehem ya kujihifadh tu arafu uchukue Geust sehem ambayo Mech za Kirafik zinachezwa sn 🤣🤣🤣 Saut za Vinanda Ndy zimejaa utazan mazoezi ya Waimba kwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…