Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 329
- 1,017
Mkuu unafaham kada gani zitabaki hapo makao makuu?Sisi tulianza kureport kwa Mwajiri tarehe 11, 13, 16 mwezi huu.
Leo ndio tumeanza Induction ambayo inaisha Ijumaa tarehe 27, baada ya hapo ndio tunasambazwa mikoani kuanza kazi, kwa hiyo mpunga kuna uwezekano wa kuusikilizia February mwishoni
Mambo gani [emoji15]Humu mna mambo[emoji23][emoji3064][emoji3062][emoji16]
Ukiwa muongo inabidi uwe nakumbukumbuBwana kitenge tusamehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipo mtaa gani hiyo Hazina?Karibu na hazina pale
Sijui mkuu, yaani hatujui kwa ujumla.Mkuu unafaham kada gani zitabaki hapo makao makuu?
Mwezi ujao hiyo MkuuSisi tulianza kureport kwa Mwajiri tarehe 11, 13, 16 mwezi huu.
Leo ndio tumeanza Induction ambayo inaisha Ijumaa tarehe 27, baada ya hapo ndio tunasambazwa mikoani kuanza kazi, kwa hiyo mpunga kuna uwezekano wa kuusikilizia February mwishoni
Ngoja tuvute subira, tushazizoea hizi subiraMwezi ujao hiyo Mkuu
Yaaah, nilijua utakuja na hii ili uwe Mshindi Ila hyo statement yangu niliyokujibu ifikirie vizuri then utaelewa kwanini nilikujibu hv au kudanganya.Ivi kwa nini huwa mnadanganya? Mnafaidika nini?View attachment 2493461
Mkuu hii Scnerio naikumbuka sana huko nyuma Ila huyo jamaa(sijui ndo wewe!!)nilimjibu kisiasa.. haiwezekani taasisi Fulani imetangaza kazi halafu mtu umeomba then ye anakuja kukuuliza umesoma Chuo Fulani..? Kana kwamba wanaotakiwa hapo ni waliosoma chuo Fulani tu...? Mbona nafasi zilitangazwa na watu tofauti waombe..Ukiwa muongo inabidi uwe nakumbukumbu
Kwenye maneno mengi pana udanganyifu ndani yake, ni hekima kuwa na maneno machache.Mkuu huyo nilimjibi kisiasa.. haiwezekani taasisi Fulani imetangaza kazi halafu mtu umeomba then ye anakuja kukuuliza umesoma Chuo Fulani..? Kana kwamba wanaotakiwa hapo ni waliosoma chuo Fulani tu...? Mbona nafasi zilitangazwa na watu tofauti waombe..
So sipendagi watu kama hawa coz wamekaa kwa ajili ya kukatishana tamaa ndo maana nilimjibi vile najua asingeweza kuendelea na alichokawa anataka kukusudia Kusema.
Ndo maana nimesema huko juu(Muktadha wa swali lake haikuwa sahihi ndo maana nilijibu vile na Wala siogopi lolote kuhusu Hilo azidi kuchambua quote na aweke humu ila ukweli ndo uko hvyo)
Yaaah, nilitoa jibu moja tu kuwa "Ndio" na Wala hakuendelea. Hicho ndo nlitaka. But dhamira yake kwangu sikuipenda ndo niliyokaikwepaKwenye maneno mengi pana udanganyifu ndani yake, ni hekima kuwa na maneno machache.
Ilo ndy la Msing Kupata kaz. Ni Bahati maana wote mliofanya Paper mnavigezoSawa wacha nieendelee kusali tu
siku zake zinahesabikaplacement itafanya jambo jema wala usijali
Khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo alikua anaenjoy na wizy mzee wa Subaru Sasa anataka achukue Hela Zangu ahaaaa nimeshitukia mchezo
Kwan uongooKhaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wizy wake alikuwa prok bana,hata hivo mimi nilikuwa nakupa ulinzi siunajua mimi ni ladies an gentlemen [emoji38]Kwan uongoo
Heeeeee ladies and gentlemen??????πββοΈπββοΈπββοΈwizy wake alikuwa prok bana,hata hivo mimi nilikuwa nakupa ulinzi siunajua mimi ni ladies an gentlemen [emoji38]
hata mawasiliano,gorani lodge nafuu. pia kma ana dgo akalale hostel za campus Hall six ma warden sio wakali tofauti na magufuli hostelSurvey , Msewe, maeneo ya ubungo karibu na chuo
Kibo uswazi[emoji1787]au huku pande za msewe.Lala kibo pale kuna lodge inaitwa jay jay
Vyumba vinaanzia elf 10 kwa single room
Nimewahi lala self inaanzia elf 12 vipo vya bei ya zaidi pia mpaka elf 15 KIBO na UDSM karibu ,asbh unachukua bora inakupeleke udsm moja kwa moja au bajaji mpaka njiapanda ya chuo then unachukua nyingine ya kwenda chuo
Ila ipo ndani kidogo lazima upate maelekezo ya mwenyeji ni kama dk 5 mpak 10 toka kituo cha daladala,usalama upo vizuri maji masaa 24
0624131450 jaribu kucheki na muhusika ukiona hapakufai utatafuta pengine
Kabisa nduguMkuu hii Scnerio naikumbuka sana huko nyuma Ila huyo jamaa(sijui ndo wewe!!)nilimjibu kisiasa.. haiwezekani taasisi Fulani imetangaza kazi halafu mtu umeomba then ye anakuja kukuuliza umesoma Chuo Fulani..? Kana kwamba wanaotakiwa hapo ni waliosoma chuo Fulani tu...? Mbona nafasi zilitangazwa na watu tofauti waombe..
So sipendagi watu kama hawa coz wamekaa kwa ajili ya kukatishana tamaa ndo maana nilimjibi vile najua asingeweza kuendelea na alichokawa anataka kukusudia Kusema.
Ndo maana nimesema huko juu(Muktadha wa swali lake haukuwa sahihi ndo maana nilijibu vile na Wala siogopi lolote kuhusu Hilo azidi kuchambua quotes na aweke humu ila ukweli ndo uko hvyo Mimi NAJIKUBALI NA NAJIAMINI siku zote, I don't care for that)