Mkuu, you must be coming from the Southern part of the country.Yaaah, nilitoa jibu moja tu kuwa "Ndio" na Wala hakuendelea. Hicho ndo nlitaka. But dhamira yake kwangu sikuipenda ndo niliyokaikwepa
Vipi mheshimiwa umepangiwa mkoa gani?Hahahaaa, ukame bado umetaradadi.
Tunanyweshwa Chai na Lunch tu mkuu
Vipi mkuu, placement wameshaweka huko?Mpo kimya wadau,au ndio mna mikando weekend hii
kwa mujibu wa.....placement ya MB12 hadi febVipi mkuu, placement wameshaweka huko?
Sikuwa online mkuu nimeona asubuhi hiiBalozi limited hizi namba za Usaili niadjeh mbona Hadi Leo kimya siku ya 3 leo..
Vipi ww umepata...???
No... Why...?Mkuu, you must be coming from the Southern part of the country.
Aren't you?
[emoji4][emoji4][emoji4]
Asante sana mkuu, AmeenHongereni wote mlioitwa kwenye mkando wa preliminary stage.
Jiandae vyakutosha kwa bidii, nendeni na Sugunyo mkawanyooshe PSRS.
Mungu yupo pamoja nanyi katika kuusaka Mrija wa Asali
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa nasi tuko njiani tutamkuta hukoMwamba wizy aliamua kula kona ili tusije kumuomba lifti kwenye subaru yake[emoji3][emoji3]
Nisalimie HR pande hizo,Ahsante sana, day 1 imeisha hiyo ya kunolewa
Kwamba unazo za jikonii kabisaa....Hahahaha...kwa mujibu wa.....placement ya MB12 hadi feb
Me mwenyewe sijaona placements, umesikia Kuna placements imetoka..?
Kuna jamaa Hapo Juu alikuwa ananiuliza kama nimeona placement...Kwani nilikuwa kimya kidogo...Me mwenyewe sijaona placements, umesikia Kuna placements imetoka..?
Nenda kaongeze Wigo Mpana.Mungu akusaidie kwenye usaili wako ujao.Me mwenyewe sijaona placements, umesikia Kuna placements imetoka..?
-na Mimi ni CPA (T), CISA,B. ECONOMICS,MSC FINANCECPA(T) humu JF napakubali sana hatujuani lkn pana wataalamu. Hakika nafarijika sana. Tuendelee kusubiri mkuu nyie wa november nadhani yako jikoni
Kazi kazi-na Mimi ni CPA (T), CISA,B. ECONOMICS,MSC FINANCE
-mrembo anayefanya interview udsm aje geto