Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kupata kazi ni bahati,kupata kazi sasa ni Wakati wa muda,Yaani kama ni muda wako basi utapata kazi.Mungu atusaidie sote.
Kikubwa tusikate tamaa na uvumilivu tu.
Kwani Kuna vile Sisi tunapanga au kuombea itokee hivi.Lakini Mungu anapanga hivi.Ajira ni chache na wenye Sifa tupo wengi,hata hao PSRS huwa wanatamani watuchukue wote lakini mikando ya Written huwa inaondoka na Kijiji.
 
Back
Top Bottom