Prolific26
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 498
- 934
Wewe ni Binti?Toa location,unaishi wapi
Si waone hapa.Maana pia usalama wake ni muhimu,Ili akija hapa kama atakusifu kwa ukarimu wako basi uwe wa Kheri na sio Shari...Wewe ni Binti?
Wanajukwaa nina swali hivi advanced diploma na degree are these two equivalent kwa pale sekretariet
Ameen.. ni mwendo wa kuongeza wigo tu.. Huku tunasubir kitu Huku naongeza kituNenda kaongeze Wigo Mpana.Mungu akusaidie kwenye usaili wako ujao.
Anataka kula kimasikhara au😂😂Ila wee jamaa....
Jamaa ana hatari huyoAnataka kula kimasikhara au😂😂
Because your "accent in writings" tells so mheshimiwa.No... Why...?
May be Ila huko sijawahi hata kufikaBecause your "accent in writings" tells so mheshimiwa.
Haina shida mheshimiwa.May be Ila huko sijawahi hata kufika
Ulitumia akili, maana kuna watu kutwa kudanganya wenzao kuwa kama hujasoma hapo huwez kuajiriwa nao....Mkuu hii Scnerio naikumbuka sana huko nyuma Ila huyo jamaa(sijui ndo wewe!!)nilimjibu kisiasa.. haiwezekani taasisi Fulani imetangaza kazi halafu mtu umeomba then ye anakuja kukuuliza umesoma Chuo Fulani..? Kana kwamba wanaotakiwa hapo ni waliosoma chuo Fulani tu...? Mbona nafasi zilitangazwa na watu tofauti waombe..
So sipendagi watu kama hawa coz wamekaa kwa ajili ya kukatishana tamaa ndo maana nilimjibi vile najua asingeweza kuendelea na alichokawa anataka kukusudia Kusema.
Ndo maana nimesema huko juu(Muktadha wa swali lake haukuwa sahihi ndo maana nilijibu vile na Wala siogopi lolote kuhusu Hilo azidi kuchambua quotes na aweke humu ila ukweli ndo uko hvyo Mimi NAJIKUBALI NA NAJIAMINI siku zote, I don't care for that)
Zile paper za Written unaweza ukasoma sana na ukapigwa tu.Ni Ile uwe umepita walimopita wao kutunga maswali.Na unaweza kuona paper nyepesi kumbe Ndio ngumu ikatoa matokeo Hasi.Eeeeht watuchukue wote kuna Nyakat Kabisa unaingia kwny Written unaona dhamira ya mtunzi wa Mtihan ni kuondoka na Majority Upande wake(NOT SELECTED) na kuwaacha Minority (SELECTED) .
Saaaaaaana kupitia vitabu vyakeHaina shida mheshimiwa.
Unamfahamu Wole Soyinka?
Yaaap, kumbe hizo vitu sasa havipo watu kibao ninaowafahamu wamepata Ajira kwenye vyuo vya Umma (Tutorial Assistant) na Wala hawakupita kwenye hvyo vyuo.Ulitumia akili, maana kuna watu kutwa kudanganya wenzao kuwa kama hujasoma hapo huwez kuajiriwa nao....
Aiseh congrats for making these. Big up kaziiendelee-na Mimi ni CPA (T), CISA,B. ECONOMICS,MSC FINANCE
Ila pesa Sina nakunywa Chai ya Mama BalenciagaAiseh congrats for making these. Big up kaziiendelee
Hiyo ni suala la muda tu, mbeleni uko yatakaa sawa tu mkuu, tuko wengi humu sema hatujuani tu, saivi life is tough kwahiyo tuendelee kupambana our day is coming....God is good all the timeIla pesa Sina nakunywa Chai ya Mama Balenciaga
CISA ndo nn wengine washamba kudg mkuiAiseh congrats for making these. Big up kaziiendelee